Watumishi wanaitishana 'roll call' Zanzibar...

Status
Not open for further replies.
Mkuu Mzee Mwanakijiji huu ni upepo tu utapita. Watanzania ni wasahaulifu sana. Hapa watawala wanaomba chochote kitokee ili hii issue isahaulike kwa sasa.
Nakumbuka mauaji ya kamanda Barlow yalitikisa vibaya, hata kabla hajazikwa, kikatokea kitu gani sikumbuki, watanzania wakasahau kwamba kuna Afande kauwawa kinyama.
Nakuakikishia mfano Jumatano mabomu ya Mbagala yakilipuka tena, hakuna atakayejadili hili na itakua salama kwa Ilunga na Serikali.
 
Last edited by a moderator:
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...

Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?

Sasa ndio nini? mimi wafanyakazi wetu wote wana radio calls leo miaka 15 na wote ni lazima waripoti kila baada ya saa moja. Na makao makuu yangu yapo Dar. na wamezagaa sehemu tofauti Tanzania.

Kuna nini cha ajabu kwa hilo? Wacha ufataani.
 
suala hapo ni wabara hatutakiwi. hebu tuondoke hapo kama haya yote yatatokea. hao mapadre wako hapo zaidi ya miaka 200 na hawauawi. kwanini iwe leo. muungano ufe. ndo cahnzo cha yote haya.
 
.
Shein nae baada ya kuona hawezi kupigana na uamsho, amechukua suluhisho la kuungana nao.
.
Teh teh teh!kweli mkuu,na mimi nakubaliana na wewe!jamaa naye ni dhaifu kuliko hata mkuu wa kaya!
 
Kuna habari kwamba leo alfajiri kanisa limechomwa moto zanzabae

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Sasa ndio nini? mimi wafanyakazi wetu wote wana radio calls leo miaka 15 na wote ni lazima waripoti kila baada ya saa moja. Na makao makuu yangu yapo Dar. na wamezagaa sehemu tofauti Tanzania.

Kuna nini cha ajabu kwa hilo? Wacha ufataani.

Inawezekana cha ajabu kipo, maana inategemea hiyo radio call unayo kwa matumizi gani.

Mi nafikiri tofauti ni kuwa za kwenu ni kwa ajili ya kazi,na za kwao ni maalumu kwa ajili ya usalama wao.
 
Mwenyewe nilipanga kuitembelea Tanzania Zanzibar wiki hii na sasa nimeishaghairi ninaelekea Rukinjiri- Uganda.

Kwa uenda wazimu wao wanafanya mambo ya kiujinga bila kuangalia impact yake kwa uchumi wao na mstakabali wa taifa!
 
si wanapata asilimia 4.5 ya mapato toka tanganyika? Zinawatosha.
 
Sasa ndio nini? mimi wafanyakazi wetu wote wana radio calls leo miaka 15 na wote ni lazima waripoti kila baada ya saa moja. Na makao makuu yangu yapo Dar. na wamezagaa sehemu tofauti Tanzania.

Kuna nini cha ajabu kwa hilo? Wacha ufataani.

Zomba, nadhani la msingi hapa ni kwa nini hizo radio calls zinatumika. kama hawa wanatumia kwa ajiri ya kumonitor usalama wao lazima kutakuwa na tatizo, kwa inclination yako ilivyo wewe ulipaswa kuhoji ni kwa nini hao wanaona usalama wao uko mashakani? isijekuwa ni moja kati ya wanaolalamikiwa na wazinzibar kuharibu ustaarabu wao, lakini kusema kwamba hata wewe unaradio call inakuwa kama uko tayari kubibisha kwa chochote wakati wowote.
 
Ni lini na wapi dunia hii ambapo wafanyakazi wa kutoka nje ya nchi fulani wakaishi bila ku monitor usalama wao?
 
Unalivyoiita hiyo makafiri mtu anaweza kufikiri we hautumii hewa hii kama wao, hauli chakula kama chao, hauchoki kama wao na wala haufi n.k

Kwa tafsiri ya neno kafiri hata mkristo unatakiwa kumuita mwislamu kafiri, ni haki yako kwa matumizi ya lugha.

Kwa kuwa mwislamu aamini Mungu unayemwanini basi kwako huyo ni kafiri au mpagani.
 
Ni lini na wapi dunia hii ambapo wafanyakazi wa kutoka nje ya nchi fulani wakaishi bila ku monitor usalama wao?

Unamaana hawa wachina wooooote hawa wanamonitor usalama wao? na wanatumia radio calls? na ni katika pattern anayosema mzee mwanakijiji hapo? kwamba mtu asipopatikana kwenye radio call unafanyika msako kumtafuta? unauthibitisho juu hili?

Ofcourse hata mwanakijiji anapaswa kutueleza hao wanaotembea na radio calls na kufuatiliana namna hiyo? wametoa taarifa kwenye vyombo vya usalama juu tishio linalowaweka roho juu??
 
Kwa tafsiri ya neno kafiri hata mkristo unatakiwa kumuita mwislamu kafiri, ni haki yako kwa matumizi ya lugha.

Kwa kuwa mwislamu aamini Mungu unayemwanini basi kwako huyo ni kafiri au mpagani.

Sio sahihi kwamba hata Mkirsto anatakiwa kumuita Muislamu kafiri, hakuna maelekezo ya namna hiyo kwenye Biblia. wakati pekee neno hili lilitumika dhidi ya binaadamu wengine ni kabla ya kuja kwa Yesu Kiristo, na lilitumiwa na waisrael dhidi ya Jamii zingine zote ikiwamo mimi na wewe, baada ya Yesu kurejea alikotoka alimcommission Paul kuanzisha mchakato wa kuhakikisha kwamba binaadamu wa jamii zote duniani bila ubaguzi wa aina yoyote anapashwa habari ya opportunity iliyojitokeza kwa binaadamu wote ya kuwa treated equally mbele za Mungu (hasa katika msingi wa kuwa na opportunity ya kushiriki kwenye imani ya kikristo) baada ya yeye kuridhia na kuuwawa na kufanyika sadaka kwa Mungu Baba.

Hivyo uishie hapo hapo na hizo fikra zako kwamba hata wakiristo huita binaadamu wenzao makafiri, lakini uendelee kujipima kama unalo lolote lile la kukufanya kujiunua ni kujiona bora kuliko binaadamu wenzako ambao kama wanavyokufa wao na wewe vivyo hivyo hufa na kurejea mavumbi kama iwatokeavyo ng'ombe na kondoo.
 
Unamaana hawa wachina wooooote hawa wanamonitor usalama wao? na wanatumia radio calls? na ni katika pattern anayosema mzee mwanakijiji hapo? kwamba mtu asipopatikana kwenye radio call unafanyika msako kumtafuta? unauthibitisho juu hili?

Ofcourse hata mwanakijiji anapaswa kutueleza hao wanaotembea na radio calls na kufuatiliana namna hiyo? wametoa taarifa kwenye vyombo vya usalama juu tishio linalowaweka roho juu??

Kwanini hukuanza na kwa kumuuliza mleta mada kama ana uthibitisho kwa aliyosema? wakati anajulikana kwa ufataani wake humu JF.

Au mkuki kwa nguruwe tu, kwa binaadam mchungu?

Isitoshe, labda huwajuwi Wachina. Roll calls kwao ni asubuhi na jioni hata huko kwao seuse wakiwa nje? wapo sawa na Wajapani kwa hilo, waulize wanaofanya nao kazi watakufahamisha.
 
Pakazieni dunia nzima ya kwamba z'br kuna magaidi,lakini mkae mkijua target ya wazenji ipo palepale,jamhuri ya
Watu wa z'br kwanza chokochoko hazina nafasi.
Kweli naona tuna tafsiri tofauti kuhusu chokochoko, kama hadi hapa mwenzetu haujaona chokochoko. Siku ukiona kweli ni chokochoko nahisi itakuwa ni full-blown war! Hureeeeee Zanzibar, yangu macho na masikio!
 
Kwanini hukuanza na kwa kumuuliza mleta mada kama ana uthibitisho kwa aliyosema? wakati anajulikana kwa ufataani wake humu JF.

Au mkuki kwa nguruwe tu, kwa binaadam mchungu?

Isitoshe, labda huwajuwi Wachina. Roll calls kwao ni asubuhi na jioni hata huko kwao seuse wakiwa nje?wapo sawa na Wajapani, waulize wanaofanya nao kazi watakufahamisha.

Zomba, acha unazi wa namna hii ndugu yangu.
wachina wanauliwa na majambazi kila siku hapa dar na hatuoni pilikapilika zozote za kiusalama kutokea kwenye intelligencies wao.

sio wachina tu, kama ni swala la wageni, wapo hapa wakenya,waganda, wanigeria, wahindi, wapakistani na wote hawa hawana monitoring yoyote ile.

Juzi nilikuwa nasoma hukumu ya kesi ya mengi dhidi ya mzungu aliyenyanyaswa na mdogo wake mengi, tena muingereza, alikuwa anavamiwa nyumbani kwake na hakukuwa na radio calls wala ulinzi wa aina yoyote wa kiingereza aliopowa yule jamaa, leo unasema wageni woooote wana radio calls sijui wanamonitor usalama wao, mbona unanilamisha kuona kwamba uko biased with interests ndugu yangu.
 
Soma mada juu, kinaongelewa "watumishi wa mashirika" ya nje. Si "individuals". Hata hao individuals wa kigeni ukienda makwao hukosi walinzi wa uhakika.

Hivi ni nini ambacho hukielewi au ili mradi tu ubishe.
 
Wachukue kwenu basi wakatalii

sasa ndo muda wa kuwapa Zenji yenu... hamna jipya... tumewabeba vya kutosha sisi wabara ndo tutakao dai kuvunja muungano wala msiwe na hofu... wavivu wa kufikiri mpaka kuongea mmeshikwa mkono mnataka mkumbatiwe...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom