Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,117
- 1,327
Asante mkuu kutufumbua, kesho nitaingia nami nizipate.Mimi nimeingia utumishi.go.tz kuna watumishi portal, nimesajili check no na kuprint... Zipo hadi nov 30 Dec bado
Asante mkuu kutufumbua, kesho nitaingia nami nizipate.Mimi nimeingia utumishi.go.tz kuna watumishi portal, nimesajili check no na kuprint... Zipo hadi nov 30 Dec bado
Okeeeebayport,platinum,faidika,and the likes!
Na pia kwenye saccos za watu binafsi wanakoacha atm cards!
Poa mkuu, inahitaji uwe na check no yako... Kiufupi portal yao wamejitahidi kwa level yetu, iko simple na rahisi kutumia, wanaAsante mkuu kutufumbua, kesho nitaingia nami nizipate.
mkuu,kwani hata sare za shule na madaftari ni bure?Lakini shule si ni bure au wanapeleka watoto private schools?.......
Sio kweli salary slip zinatoka kila mwezi Mkuu. Huyu aliyekupa hii ishu ni mwongo!Watumishi wa umma wanahangaika kupata salary slip ili waweze kukopa kwenye mabenki,kuwalipia watoto ada,wamesema tangu mwezi wa 8 hawajapata salary slip mpaka Sasa,ukiuliz unabiwa hazijatoka,wanamuomba waziri husika,afuatilie jambo hilo.
Shule hazitoshi za serikali inabidi wawapeleke private mkuuLakini shule si ni bure au wanapeleka watoto private schools?.......
Kaa kimya mkuu,unajivua nguoHiyo si statement printed kuonesha makato ya basic to net salary paid. Sasa ishu ya mhasibu Wa payroll kuprint inasumbua nin? Hakuhitaji tamko hapo......uzembe mwingine uzeee
NI KWELI MM NI MMOJA WA WAATHIRIKA SINA HAKIKA KM WATAKUSIKIA AU KUKUELEWA,MAANA WANASEMAGA HAPA KAZI TU.Watumishi wa umma wanahangaika kupata salary slip ili waweze kukopa kwenye mabenki,kuwalipia watoto ada,wamesema tangu mwezi wa 8 hawajapata salary slip mpaka Sasa,ukiuliz unabiwa hazijatoka,wanamuomba waziri husika,afuatilie jambo hilo.
Mimi nimeingia utumishi.go.tz kuna watumishi portal, nimesajili check no na kuprint... Zipo hadi nov 30 Dec bado
Angalia katika kipengele cha taarifa zako mkuumkuu mbona mimi nimeingia sijaona kipengere hicho. naomba msaada wako wa maelekezo
Mkuu kweli ,ebu toa maelekezo vizuri utuokoeMimi nimeingia utumishi.go.tz kuna watumishi portal, nimesajili check no na kuprint... Zipo hadi nov 30 Dec bado
Daaaah!!Sio kweli salary slip zinatoka kila mwezi Mkuu. Huyu aliyekupa hii ishu ni mwongo!
Mleta hoja wewe unamatatizo sana mshahara sasa unatoka tarehe 22 hadi 24 ya kila mwezi halafu unasema salary slip hazitoki unaakili kweli ama unaleta umbea hapa. Salary slip haziwezi kushindwa kutolewa kama mshahara umesha lipwa. Nenda kaulize hiyo organization wanamatatizo gani.Watumishi wa umma wanahangaika kupata salary slip ili waweze kukopa kwenye mabenki,kuwalipia watoto ada,wamesema tangu mwezi wa 8 hawajapata salary slip mpaka Sasa,ukiuliz unabiwa hazijatoka,wanamuomba waziri husika,afuatilie jambo hilo.
Nitajie hiyo shule ya bure nikampeleke mwanangu mkuuLakini shule si ni bure au wanapeleka watoto private schools?.......
IngiaMkuu kweli ,ebu toa maelekezo vizuri utuokoe
Mbona ofisi yetu tumepata mpaka salary slip za November?Watumishi wa umma wanahangaika kupata salary slip ili waweze kukopa kwenye mabenki,kuwalipia watoto ada,wamesema tangu mwezi wa 8 hawajapata salary slip mpaka Sasa,ukiuliz unabiwa hazijatoka,wanamuomba waziri husika,afuatilie jambo hilo.