Watumishi wa umma wahitaji salary slip wakope kupeleka watoto shule

Asante mkuu kutufumbua, kesho nitaingia nami nizipate.
Poa mkuu, inahitaji uwe na check no yako... Kiufupi portal yao wamejitahidi kwa level yetu, iko simple na rahisi kutumia, wana
1. Taarifa zako
2. Option ya kutafta mtu wa kubadili kituo cha kazi
3. Sehem ya kuwasilisha malalamiko na kufuatilia
 
Watumishi wa umma wanahangaika kupata salary slip ili waweze kukopa kwenye mabenki,kuwalipia watoto ada,wamesema tangu mwezi wa 8 hawajapata salary slip mpaka Sasa,ukiuliz unabiwa hazijatoka,wanamuomba waziri husika,afuatilie jambo hilo.
Sio kweli salary slip zinatoka kila mwezi Mkuu. Huyu aliyekupa hii ishu ni mwongo!
 
Pesa ya ku print Salary slip Nchi nzima si unaweza walau kujenga barabara kilometer mbili kwa Walalahoi kule Chato? Msim drive Mzee!
 
Watumishi wa umma wanahangaika kupata salary slip ili waweze kukopa kwenye mabenki,kuwalipia watoto ada,wamesema tangu mwezi wa 8 hawajapata salary slip mpaka Sasa,ukiuliz unabiwa hazijatoka,wanamuomba waziri husika,afuatilie jambo hilo.
NI KWELI MM NI MMOJA WA WAATHIRIKA SINA HAKIKA KM WATAKUSIKIA AU KUKUELEWA,MAANA WANASEMAGA HAPA KAZI TU.
 
Watumishi wa umma wanahangaika kupata salary slip ili waweze kukopa kwenye mabenki,kuwalipia watoto ada,wamesema tangu mwezi wa 8 hawajapata salary slip mpaka Sasa,ukiuliz unabiwa hazijatoka,wanamuomba waziri husika,afuatilie jambo hilo.
Mleta hoja wewe unamatatizo sana mshahara sasa unatoka tarehe 22 hadi 24 ya kila mwezi halafu unasema salary slip hazitoki unaakili kweli ama unaleta umbea hapa. Salary slip haziwezi kushindwa kutolewa kama mshahara umesha lipwa. Nenda kaulize hiyo organization wanamatatizo gani.
 
Mkuu kweli ,ebu toa maelekezo vizuri utuokoe
Ingia
www.utumishi.go.tz
Kushoto tafuta watumishi portal, kisha jisajili. Ili kujisajili utahitaji
1. Email yako
2. Check no (hii ndo itakua na taarifa zako)
3. Password
Ukishajisajili sasa utaweza ku Log in katika hiyo portal.
Kiufupi portal yao wamejitahidi kwa level yetu, iko simple na rahisi kutumia, wana
1. Taarifa zako (hapa ndipo kuna kipengele cha salary slip)
2. Option ya kutafta mtu wa kubadili kituo cha kazi
3. Sehem ya kuwasilisha malalamiko na kufuatilia
 
Watumishi wa umma wanahangaika kupata salary slip ili waweze kukopa kwenye mabenki,kuwalipia watoto ada,wamesema tangu mwezi wa 8 hawajapata salary slip mpaka Sasa,ukiuliz unabiwa hazijatoka,wanamuomba waziri husika,afuatilie jambo hilo.
Mbona ofisi yetu tumepata mpaka salary slip za November?
 
Mishahara ya watumishi imevurugwa hovyohovyo...... kuna kitu kinafichwa juu ya hili,. ni ajabu sana.
 
Back
Top Bottom