mzee alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 711
- 264
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi wako nimeziona taarifa zangu kiurahisi kwa kweli wamejitahidi kuturahisishia ila ,ila tatizo HR awataki kutuambia kuwa kuna njia ya kuprint salary slip .kweli ubarikiwe kwa kunitoa matongongoIngia
www.utumishi.go.tz
Kushoto tafuta watumishi portal, kisha jisajili. Ili kujisajili utahitaji
1. Email yako
2. Check no (hii ndo itakua na taarifa zako)
3. Password
Ukishajisajili sasa utaweza ku Log in katika hiyo portal.
Kiufupi portal yao wamejitahidi kwa level yetu, iko simple na rahisi kutumia, wana
1. Taarifa zako (hapa ndipo kuna kipengele cha salary slip)
2. Option ya kutafta mtu wa kubadili kituo cha kazi
3. Sehem ya kuwasilisha malalamiko na kufuatilia