Watumishi wa umma wahitaji salary slip wakope kupeleka watoto shule

pacoma

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
650
414
Watumishi wa umma wanahangaika kupata salary slip ili waweze kukopa kwenye mabenki,kuwalipia watoto ada,wamesema tangu mwezi wa 8 hawajapata salary slip mpaka Sasa,ukiuliz unabiwa hazijatoka,wanamuomba waziri husika,afuatilie jambo hilo.
 
Hiyo si statement printed kuonesha makato ya basic to net salary paid. Sasa ishu ya mhasibu Wa payroll kuprint inasumbua nin? Hakuhitaji tamko hapo......uzembe mwingine uzeee
 
Hiyo si statement printed kuonesha makato ya basic to net salary paid. Sasa ishu ya mhasibu Wa payroll kuprint inasumbua nin? Hakuhitaji tamko hapo......uzembe mwingine uzeee
Acha umbumbumbu wako wewe kama hujui vitu vingine jaribu kuuliza uelimishwe.
 
Lakini shule si ni bure au wanapeleka watoto private schools?.......
Wewe sio kila kitu ni bure ko shulen wanagawa sare za shule, daftar,na je Kama mtoto yupo advance poket money serikal inagawa?? Na hela ya kupigia kopi vitabu wanakupa??? Tafsiri ya elimu bure isitulemaze akili
 
Kaka watù bado hawajabadilika wanawapeleka private.je wewe mtoto wako yuko private?
Shule za umma nazo zinamambo _kwa miezi tisa shule ya dar haina mwalimu wa masomo nyeti _sasa hapo ukipeleka mtoto private inakuwaje?
 
Back
Top Bottom