Watu wazito wananikera

Watu wazito wananikera

Binadam wanatoafautaina sana .kuna mwingine toka azaliwe hajui kulima hajui kupishana nanyoka vichakani .kuna wanawake wabara wanaendesha baiskesli mwanamke wampani hawezi kabisa .


hata kubadilisha bulb au kutoa vitofari uviarrange seheme huwez wewe? kuokota tofali 1 shida !bas nina mgonjwa mie
 
Ni kuwazoea japo kuna wakati hawazoeleki bila kuwa mkali na kukusisitizia jua hiyo hasara tena kubwa mengi nikisema sasa hapa sisemi heeee utamuona tu yaani leo nimepata hasara ya kutisha naishia kulalama tu


nachoka kapeace wewe !
 
kwan lazima uwe na hosuboy
Kwahiyo unataka niamke asubui nioshegari mwenyewe ?Gari inapancha unataka mpaka nipige jeki nibadili tairi ndo uone mkakamavu ??mm kaziyangu kutafta hela nakukuhudumia kitandani .ukakamavuwangu nikitandani so kugombana nanyoka au navibaka .kama kujihami silaha sizipo ??
 
Kwahiyo unataka niamke asubui nioshegari mwenyewe ?Gari inapancha unataka mpaka nipige jeki nibadili tairi ndo uone makakamavu ??mm kaziyangu kumtafta hela nakukuhudumia kitandani .ukakamavuwangu nikitandani so kugombana nanyoka au navibaka .kama kujihami silaha sizipo ??


ahahahah imebidi nicheke tu !naju wewe bado mtoto ngj nikuache !haya maisha sio ya kukariri namna hyo kaka
 
ova unamjua alikua anatetmeka ananifanya nisilale niwe attention tu muda wote nikauliza unaumwa nn !oh koo linauma na kuwasha !ndo utetemeke kwa makelele yote hayo jaman !uwii toka alhamis kalala had jana !eti ht kuoga haez hahah ! yaan ht kufunha geti mwenzako hawezag eti ukiamka wewe ndo ufunge geti na wakat yy kachelewa kurud!mxiew
Amekuudhi kweli ila nachofurahishwa unampenda sana basi makwazo yake
 
ahahaahh !mapuuza !hata kunyanyua kamzigo ka kilo 20 anakuambia ah mie siwez bwana !hv huwa ni kamtindio au?
Inaudhi sana unakuta kamshemeji kamejaa ndani sitting room, maji kibao yapo hata kuchukua maji yakuoga no kunuka majasho tu eti m degree huyo
 
Inaudhi sana unakuta kamshemeji kamejaa ndani sitting room, maji kibao yapo hata kuchukua maji yakuoga no kunuka majasho tu eti m degree huyo


hahahah chefu mno aisee
 
ahahaah !aisee !mie ni mzito kujumuika jumuika na watu !huwa sipend sana !
Kukaa vibarazani huku mme yupo ndani mke huko anauliza hivi jirani kapika nini leo maana sijaona kawasha moto
 
Jamani nisaidieni hili,kuna baadhi ya watu nimewahi kukutana nao maishani mwangu huwa ni wazito natural,hivi huwa ni nn ? yaan wazito tuu hawapo active ,shida huwa ni nn !yaan namaniisha unaweza mkuta yupo yupo tu hawezi kitu chochote hata kazi ndogo ndogo yeye huwa majanga kwake,ukija kwenye suala la pesa hachangamkii fursa yupo radhi alale njaa km hana pesa !hivi watu kama hawa huwa wanashida ipi jaman !

mtu wa namna hii mfano anaweza kukwama na gari badala ya kufight alitoe yeye anaweza jikuta analitelekeza hapo na kurud nyumban hawez jiongeza ampigie mtu amsaidie,mifano ni mingi sana nahitaj kujua mbona kuna wengine akili zao huwa zinaenda fast wengine zinakuwa very slow!

Na watu kama hawa wale chakula gan waamshe bongo zao? pia nimegundua huwa ni waoga yaan anahofu tu yeye sio wa kufanya jambo anataka ufanye wewe yeye amekaa pemben tu !namanisha wana HOFU !hyo hofu hutokana na nn??

binafsi nakereka !

cc; madoctors wote mnisaidie !
Naona uwezo wako wa kufikiri unaenda kufika ukomo. Ikiwa ni kweli hujui sababu ni nini
 
hahaha mie nadhan hii ndo dawa !yaan jaman!arghhhhh !jitu zitooo shamba haliwez ht kunyanyua mpira wa maji yaan uwiiiiiiiiiii !nina jiran yangu shogaa weekend jaman baba yupo busy uwii anafagia had uwanja, anakatia fence, anaosha mbwa wake ,anaosha gar hapo nje!saa10 unamuona anajinywea pombe kwenye garden yake !

mweee mbiti mie jaman !NINI HIKI??
Jamani unajua ni malezi wakati mwingine huko atokako, mie niliishi na shemeji yangu alikuja rikizo basi mpaka raha atafanya hiki ukiamka unamkuta yupo na fagio kama ni maji atakusaidia kujaza, mkienda nunua samaki mkifika tu anakwambia wewe endelea huko jikoni wewe niwekee mifuko nibaki tu ss jirani yangu akiona hivyo anashangaa mpaka mdomo unaota magaga
 
I wish my kids wawe km mie jaman ! mie hata nikiumwa jaman bado nipo active !juzi alh mume alishikwa matonsils !amelala had jtat hii hoiiiiii !eti hajiwez jaman !yaan namanisha kulala ziii hajiwez kitu uwii nilichukia jaman !mie tonsilis natupia azuma naendlea na kazi !sasa yeye ! we nadhan umenielewa !i hate jaman
Pole my ni malezi mwingine akiumwa mafua tu ni ugonjwa mpka anaoga maji ya moto, mie hapa ukiona kalala tambua hapo mzee mzima yupo hoi ni dawa kama kawa na kazini yumo mpaka unamuonea huruma pole ni malezi
 
Back
Top Bottom