Watu wazito wananikera

Watu wazito wananikera

Tabia hii huanzia kwenye malezi then mtu anakua nayo unakuta mtoto kila kitu anafanyiwa na hausi gelo huko kuwa active kwenye mambo ya maana atapata wapi huo ujasiri
 
kuna mengi yanayochangia mfano malezi, mazingira, nature ya mtu au hata uwezo wa ubongo kufikiri kwa haraka, ndo maana hata darasani kulikuwa na slow learners na wale waelewa haraka hivyo katika kufanya approach ya kitu tupo tofauti mkuu.
 
Wanakera, unakuta vitu vya msingi vinatakiwa kufanyika mtu anajivuuuuta kama mlenda....
Natamani vijana wangu niwasomeshe shule za jeshi
 
Kaupungufu tu dawa ni kutokuwa Karibu nae muda mwingi la sivyo utaishia kugombana

hahaha mie nadhan hii ndo dawa !yaan jaman!arghhhhh !jitu zitooo shamba haliwez ht kunyanyua mpira wa maji yaan uwiiiiiiiiiii !nina jiran yangu shogaa weekend jaman baba yupo busy uwii anafagia had uwanja, anakatia fence, anaosha mbwa wake ,anaosha gar hapo nje!saa10 unamuona anajinywea pombe kwenye garden yake !

mweee mbiti mie jaman !NINI HIKI??
 
Wanakera, unakuta vitu vya msingi vinatakiwa kufanyika mtu anajivuuuuta kama mlenda....
Natamani vijana wangu niwasomeshe shule za jeshi

I wish my kids wawe km mie jaman ! mie hata nikiumwa jaman bado nipo active !juzi alh mume alishikwa matonsils !amelala had jtat hii hoiiiiii !eti hajiwez jaman !yaan namanisha kulala ziii hajiwez kitu uwii nilichukia jaman !mie tonsilis natupia azuma naendlea na kazi !sasa yeye ! we nadhan umenielewa !i hate jaman
 
hahaha mie nadhan hii ndo dawa !yaan jaman!arghhhhh !jitu zitooo shamba haliwez ht kunyanyua mpira wa maji yaan uwiiiiiiiiiii !nina jiran yangu shogaa weekend jaman baba yupo busy uwii anafagia had uwanja, anakatia fence, anaosha mbwa wake ,anaosha gar hapo nje!saa10 unamuona anajinywea pombe kwenye garden yake !

mweee mbiti mie jaman !NINI HIKI??
Pole jamani najua unapenda mtu wa aje, pole sana malezi yamechangia lkn
 
Kila mtu ana udhaifu wake inaezekana ukawa mshapu ila unakoroma kitandani,unanuka kwapa au mdomo
Hujui kupika,hujui matumizi mazuri ya pesa

Usimchukie mtu kwa jinsi alivyo yawezekana wakuzungukao wanakuvumilia kwa mengi sana.kila mtu kaumbwa tofauti sana na ana sababu kwanini upo nae karibu.
 
upo sawa nina madhaifu yangu !ila ni too much !najua hujanielewa!yaan ndo uwe mzito kwa kila kitu jaman !we kila kitu hujiwez
 
I wish my kids wawe km mie jaman ! mie hata nikiumwa jaman bado nipo active !juzi alh mume alishikwa matonsils !amelala had jtat hii hoiiiiii !eti hajiwez jaman !yaan namanisha kulala ziii hajiwez kitu uwii nilichukia jaman !mie tonsilis natupia azuma naendlea na kazi !sasa yeye ! we nadhan umenielewa !i hate jaman
Tonsils mi nipe mabarafu
 
Bora awe mzito wa kutokufanya kazi, kuna wengine ni wazito mpaka kufikiri unajiuliza hivi huyu mtu anatatizo kwenye ubongo au shida ni nini?
Ukimuuliza jambo lenye kuhitaji ufafanuzi tena ni jambo muhimu na yeye anakuuliza kwani wewe unaonaje, yaan wewe ndio uumize kichwa ila sio yeye. Utamuacha baada ya muda Ukimuuliza tena vipi lile jambo tulilokuwa tukizungumza umeshalipatia ufumbuzi? Atakujibu bado Ukimuuliza kwani unawaza nini atakujibu hakuna.
Ndio utambue binadam tupo tofauti.
 
Tabia hii huanzia kwenye malezi then mtu anakua nayo unakuta mtoto kila kitu anafanyiwa na hausi gelo huko kuwa active kwenye mambo ya maana atapata wapi huo ujasiri

na mie nimehis ni malez !jaman mbona ni mbaya sana! duh
 
Bora awe mzito wa kutokufanya kazi, kuna wengine ni wazito mpaka kufikiri unajiuliza hivi huyu mtu anatatizo kwenye ubongo au shida ni nini?
Ukimuuliza jambo lenye kuhitaji ufafanuzi tena ni jambo muhimu na yeye anakuuliza kwani wewe unaonaje, yaan wewe ndio uumize kichwa ila sio yeye. Utamuacha baada ya muda Ukimuuliza tena vipi lile jambo tulilokuwa tukizungumza umeshalipatia ufumbuzi? Atakujibu bado Ukimuuliza kwani unawaza nini atakujibu hakuna.
Ndio utambue binadam tupo tofauti.

WEWE SASA UMENIELEWA !yaan kila kitu anakuachia wewe ukitatue !tena anakuambia kbs ehe ishu fulan itakuwaje sasa> arghh nachoka mie
 
I wish my kids wawe km mie jaman ! mie hata nikiumwa jaman bado nipo active !juzi alh mume alishikwa matonsils !amelala had jtat hii hoiiiiii !eti hajiwez jaman !yaan namanisha kulala ziii hajiwez kitu uwii nilichukia jaman !mie tonsilis natupia azuma naendlea na kazi !sasa yeye ! we nadhan umenielewa !i hate jaman
Hayo madude nilikuwa nayachukulia Poa shosti huwezi amini yalinifanya nilazwe siku tatu na mpk sasa nimebabuka midomo ajili ya homa yake madude hayo
 
Back
Top Bottom