Watu wazito wananikera

Watu wazito wananikera

Hayo madude nilikuwa nayachukulia Poa shosti huwezi amini yalinifanya nilazwe siku tatu na mpk sasa nimebabuka midomo ajili ya homa yake madude hayo

ahhaahahhaha uwii !atlest wewe jaman !mayb mie nimezaliwa kwenye barid nishazoea matonsils !mie hayawez nilaza siku 3 aise never
 
Bora awe mzito wa kutokufanya kazi, kuna wengine ni wazito mpaka kufikiri unajiuliza hivi huyu mtu anatatizo kwenye ubongo au shida ni nini?
Ukimuuliza jambo lenye kuhitaji ufafanuzi tena ni jambo muhimu na yeye anakuuliza kwani wewe unaonaje, yaan wewe ndio uumize kichwa ila sio yeye. Utamuacha baada ya muda Ukimuuliza tena vipi lile jambo tulilokuwa tukizungumza umeshalipatia ufumbuzi? Atakujibu bado Ukimuuliza kwani unawaza nini atakujibu hakuna.
Ndio utambue binadam tupo tofauti.
Kila mtu na dhaifu lake mwingine ishu nyeti kabisa badala ahangaike nayo kabla anasubiri deadline hawa watu watuheshimu tu tunawalea sana
 
ahhaahahhaha uwii !atlest wewe jaman !mayb mie nimezaliwa kwenye barid nishazoea matonsils !mie hayawez nilaza siku 3 aise never
Siku yakikupatia unite nikuuguze nimekua nikiugua madude hayo lkn kipindi hiki naona nayo yamesoma namba sio kwa style yalonijia aiseee
 
Siku yakikupatia unite nikuuguze nimekua nikiugua madude hayo lkn kipindi hiki naona nayo yamesoma namba sio kwa style yalonijia aiseee

mie mimba ndo inanilaza ndani aisee sio hayo
 
Hawa wnakuwa wazito kila sehemu au kwenye kazi hizo tu?maeneo mengine je wanajituma?maana wapo wengine wazito kazi kama hizo ila kuna shughuli wanakuwa wepesi mpaka utapenda.

Jamani nisaidieni hili,kuna baadhi ya watu nimewahi kukutana nao maishani mwangu huwa ni wazito natural,hivi huwa ni nn ? yaan wazito tuu hawapo active ,shida huwa ni nn !yaan namaniisha unaweza mkuta yupo yupo tu hawezi kitu chochote hata kazi ndogo ndogo yeye huwa majanga kwake,ukija kwenye suala la pesa hachangamkii fursa yupo radhi alale njaa km hana pesa !hivi watu kama hawa huwa wanashida ipi jaman !

mtu wa namna hii mfano anaweza kukwama na gari badala ya kufight alitoe yeye anaweza jikuta analitelekeza hapo na kurud nyumban hawez jiongeza ampigie mtu amsaidie,mifano ni mingi sana nahitaj kujua mbona kuna wengine akili zao huwa zinaenda fast wengine zinakuwa very slow!

Na watu kama hawa wale chakula gan waamshe bongo zao? pia nimegundua huwa ni waoga yaan anahofu tu yeye sio wa kufanya jambo anataka ufanye wewe yeye amekaa pemben tu !namanisha wana HOFU !hyo hofu hutokana na nn??

binafsi nakereka !

cc; madoctors wote mnisaidie !
 
Hawa wnakuwa wazito kila sehemu au kwenye kazi hizo tu?maeneo mengine je wanajituma?maana wapo wengine wazito kazi kama hizo ila kuna shughuli wanakuwa wepesi mpaka utapenda.

GuDume
 
Halaf umewatag wengine sisi ma doctor love umetusahau. Watu wanakuwa wazito sababu hawajui kubalance kiuno na mwili wakati wa kunanii. Pia kutokana na style.kuna style nyingne mtu anaonekana mzito. Na pia mwambie mnapokuwa kifo cha mende asikulalie sana ajiegemeze kwa mikono ili kupata balance.hapo hata kama angekuwa na kilo 500 utaenjoy tu. Ila kama mzito sana uwe unamkalia tu.mbona kapt komba alikuwa ana date watoto wepes tu wadogo?

Mwambie ajishughulishe bwana hashangai ferry shilling inazama na meli inaelea?
 
Mkuu tatizo la hivyo lina sababu nyingi,moja ya sababu ni makuzi ya muhusika,kwa mfano mm makuzi yangu nimekulia kwenye "tifu" shule ya msingi ilikua 6kms away,Sec ikawa 11kms away,na nikawa namudu kwenda kila siku na kurudi home tena kwa miguu.So hii ilinijenga sana na nikawa very smart,nilikwishatembea from Moro to Chalinze kwa "teke" 2001 nikienda Dar kusaka maisha....
Anyway,sipendi kukumbuka ya nyuma.Ndio hivyo tena malezi yanaweza haribu future ya mtu.
Gudnite bye!
 
mie mimba ndo inanilaza ndani aisee sio hayo
Tuko wengi.Nalalaga ndani miezi mitatu ya mimba changa. Baada ya hapo utanikuta labour.Hayo matonsils yanasumbua watu sana.Wiki iloisha yalimshika Mr.yakampa homa hadi vidonda kwenye lips.
Nlivoona umeandika nkashtuka manake umenigusa.
 
Halaf umewatag wengine sisi ma doctor love umetusahau. Watu wanakuwa wazito sababu hawajui kubalance kiuno na mwili wakati wa kunanii. Pia kutokana na style.kuna style nyingne mtu anaonekana mzito. Na pia mwambie mnapokuwa kifo cha mende asikulalie sana ajiegemeze kwa mikono ili kupata balance.hapo hata kama angekuwa na kilo 500 utaenjoy tu. Ila kama mzito sana uwe unamkalia tu.mbona kapt komba alikuwa ana date watoto wepes tu wadogo?

Mwambie ajishughulishe bwana hashangai ferry shilling inazama na meli inaelea?

hhhahahha hivi kweli wewe gudume umeamua kunichafulia uzi hivi hivi !nimeghafirika sana na kudhalilika sana aisee !naachia ngazi
 
Back
Top Bottom