- Thread starter
- #61
wewe unashangaa wa huko Mlimani City wanaokula pipi na Ice cream?? tembea tembea babu..... Huku nilipo watu wazima wanatembea uchi na vichupi kwenye shopping malls na watu hawana habari
eeeh! mola wanusuru hawa waja wako! kwani uko hakuna defender ziwasombe hao wavunja maadili ya mtanzania?