Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hehhehehehhe Daah nimechekaje
Kwa hiyo unataka wafungashe ugali wa dona na maharage wakalie pale?

Ahh !! Ungewaambia hapo hapo.
Wakuu,
Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.
Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.
Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.
Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?
Message delivered
... ukiona mbongo anafanya aliyoyasema mleta mada ni tofauti na unachokisema, mbongo anavaa ili watu wamuone, ananunua gari si kwa ajili ya kumrahisishia mahitaji yake bali ilj watu wamuone na yeye ana mambo safi, akiwa anakula rambaramba/ice cream atafanya hayo ili aonekane ni mtu wa mjini na anakwenda na wakati...
.
huu ndiyo ukweli ... kuna philosopher mmoja niliwahi kumsikia akisema haya haya baada ya kufanya utafiti wake tz.
Kwa hiyo unataka wafungashe ugali wa dona na maharage wakalie pale?
Wakuu,
Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.
Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.
Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.
Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?
Message delivered
Kula Tano Mkuu[emoji109] [emoji109] [emoji109] !!!Kama kila mtu atakuwa anafata mambo yake Tanzania itakuwa sehemu salama sana na inaweza kuwa miongoni mwa nchi zenye maendeleo makubwa mno...
funny never end.... halafu soma signature yangu mtoa mada ndiyo jibu ya post yako.. ila yale maandishi madogo usisome
Kumbe ni shopping mall nkajua tz jiji lingine limeongezekaHivi Tz nzima shopping mall kubwa ni mlimani city pekee?
Enzi za utoto wetu MLIMANI CITY haikuwepo.Wakuu,