Watu wazima kama watoto Mlimani City

Watu wazima kama watoto Mlimani City

Wakuu,

Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.

Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.

Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.

Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?

Message delivered
Unamwazo maskini wewe...!!!, unaweza kuwa ni matokeo ya BRN.
 
Ukianza kufuatilia maisha ya watu utakua disappointed kila siku just ishi maisha yako. Huwezi kumpangia mtu jinsi gani afurahie maisha yake.
 
Mkuu, mada yako imenichekesha sanaa!
Sasa ulitakaje,wasiende Mlimani City, wasicheze game, au wasilambe ice cream au kumumunya lolypop?!
 
Hii post yako ni kama jiwe ulilotupa gizani, japo kuna ukweli fulani lakini lugha za fedheha na kejeli utazipata. Lakini sio mbaya umehitimisha vizuri "message delivered".
 
Tatizo nini hapo
Yaani mtu akifanya hivyo wewe inakuadhiri nini?yaani nashidwakuelewa kabisa.
Tolerance Tolerance Tolerance
 
Ukianza kufuatilia maisha ya watu utakua disappointed kila siku just ishi maisha yako. Huwezi kumpangia mtu jinsi gani afurahie maisha yake.
Mkuu mleta hoja hafuatilii maisha ya mtu,huyu hana alijualo kuhusu maisha,zaidi ya kupumua na kujamaba hana kingine akijuacho!
Ahurumiwe na kusamehewa alichokiona hajalielewa na hatakielewa kamwe!mfano akienda na mtoto wake sehemu tajwa mwanawe akimwomba (malai)ice ream kwa kauli ya "Baba twende tukanunue shkirim"atasema kula wewe m ni mtu mzima?
Na sijuiitakuwaje siku ukimkaribisha home halafu ukamwondoa na desert la ice cream baada ya dinner ya haja!
 
Wakuu,

Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.

Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.

Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.

Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?

Message delivered

Sasa Hii Tisa Kumi Kuna Watu Wazima Kabisa Pale Hukumbia Kutoka Upande Ule Wa Vodacom Hadi Huku Karibia Na Benki Ya Nbc Huku WAKITELEZA KAMA VILE Thienry Henry Alivyokuwa AKITELEZA Ktk Nyasi Wakati Akifunga Goli Uwanjani.
 
Wakuu,

Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.

Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.

Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.

Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?

Message delivered

Nikikuchunguza vizuri wewe lazma utakuwa ccm
 
hahahahhaha kaka punguza hasira, ulitakiwa uwachane hapo hapo live then ungejua ni mwanaume au mtoto wa kiume kweli Cc K 4 LIFE
 
Last edited by a moderator:
teh teh mleta mada pole kwa kushambuliwa ila kuna ka ukweli hapo kwenye kulamba lollipop binafsi huwa namshangaa mtu mzima kufanya hivyo publicly naona kama zimetengenezwa special for kids. Ila vitu vingine balida.
 
hahahah, mtoa mada umeongea ukwel kabisa ingawa utapondwa kama yesu kwa wayaudi ila msg wameipata, utamaduni hauigwi watanzania wenzangu hayo mambo tuwaachie western people
 
Wakuu,

Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.

Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.

Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.

Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?

Message delivered

Ushamba unakusumbua sio bure....A little exposure ingekusaidia.
 
Atakaekuponda mtoa mada ujue limempata....masuala ya kunyonya na kulamba mtu mzima na mvi ni kuruka stage za makuzi na kujifanya westernised
 
mi hiyo siyo tatizo; Tatizo ni wabibi wazee kuvaa vimini na mijanaume na vitambi vyao kuvaa mikaptula kama manamba kwenye mashamba ya mikonge enzi za ukoloni

Hahaahah kudadekkki
 
Siasa ni maisha maisha ni siasa

Na siasa sio chuki ni msuguano Wa mawazo so kila mtu ana mawazo yake hatuwezi kuwa na mawazo yanayofanana

Umenena vyema.Siasa pia ni kuvumiliana na kukubaliana kutofautiana.
Siasa sio kutoana ngeo.
 
Back
Top Bottom