Watu wazima kama watoto Mlimani City

Watu wazima kama watoto Mlimani City

Wakuu,

Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.

Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.

Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.

Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?

Message delivered

Umekuja lini Dar toka Katavi?
 
pale watu wamekuja kula bata, na kama bata zao zina include kulamba pipi what is the problem?!
 
Kama maisha yamekushinda nadhani ungejaribu kitu kingine.Huwezi kuwa unafuatilia mamb ya watu kiasi hiki.
 
Ule nao ni uzungu, mi sioni hata uhusiano wa Popcorn na Movies
Ukila Popcorn na Juice basi Movie unakua unaielewa zaidi Mkuu, yaani ukitoka hapo unaweza kuihadithia scene kwa scene kuanzia mwanzo mpaka mwisho,

ila sio karanga au ubuyu hapo movie hutaielewa kamwe
 
Mijitu minima mingine inaleta utoto wa kulalamika JF baada ya kuona mijitu mizima myenzao ikifanya utoto mlimani city.
 
Wakuu,

Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.

Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.

Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.

Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?

Message delivered

Na ww nenda ukacheze na kula kwani tatizo nn broo..waache kila mtu na starehe zake mbona wanaoingia kwenye nyumba za wageni husemi kitu acha wivu kama yakikuzidi karambe ndimu....
 
Back
Top Bottom