Watu wazima kama watoto Mlimani City

Watu wazima kama watoto Mlimani City

Khaa!! Kama ningemkuta mtoto mdogo anagonga kiroba hapo ingekuwa tatizo. Raha jipe mwenyewe bana :glasses-nerdy:

Join Date : 21st July 2015
Posts : 554
Rep Power : 418

Likes Received :110

Likes Given: 0

BTW usiwe na papara utazoea tu
 
Wakuu,

Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.

Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.

Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.

Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?

Message delivered

Kwa mujibu wa majibu yao kama hapo kwenye black bold kweli ni mitoto hiyo.😀😀
 
Hakuna kitu kizuri kama kuishi maisha yako bila kuhangaika na ya wenzio ambayo hayana tija kwako
 
I still enjoy ice cream and devour toffee. Oh I love chocolate too. I guess I am spoilt grown up though i must confess I am glad i still enjoy the simple pleasures of life accasionaly.
 
Fanya yako, acha umbea, kuna wengine wanasema mbona mlimani city kuna mazuzu wakimaanisha watu kama wewe!
 
ila mtoa mada yuko sawa kabisa.unakuta janajike au janadume na mvi kibao kichwani linamung'unya peremende au linalamba koni.me nayaonaga kama mazuzu flani hivi,hata hao wazungu wanaowaiga hawafanyi huo ujinga asee
 
nashukuru kama nawe umewaona hawa watu,wanakera
 
cone,pipi...nani kasema za watoto..acha watu wafurah na hela zao unaonekana ulikosa hata 3000 ya kununua ice cream
 
wewe unashangaa wa huko Mlimani City wanaokula pipi na Ice cream?? tembea tembea babu..... Huku nilipo watu wazima wanatembea uchi na vichupi kwenye shopping malls na watu hawana habari
 
Wakuu,

Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.

Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.

Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.

Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?

Message delivered

Umetoka kijijini leo nini? Ice cream zimeandikwa kwa watoto tu? Sasa ww ndiyo mshamba tena wa kupitiliza
 
mkuu kwani na wewe ni muathirika wa hii mada?
 
Back
Top Bottom