Watu wazima kama watoto Mlimani City

Watu wazima kama watoto Mlimani City

This niqq sounds like a brokea$$ bikini bitch,better stop hatin when em niqqs ballin on u ef-face,gotta go get ur own paper cuz!
 
Ukimchunguza ki undani mleta mada...utagundua njaa kali alaf mbaya ana nyota ya jalala. Tehe
Hana hela kununua ice-cream and the like at mall prices. Hahaha Nigg* u z a window shopper, looking at stuff u can't buy. Hahaha

Watu wana hate sanaa, i dnt find anything wrong wit that. Do u pay for their life or manage their time ?? Fact, Nlikua na ki date jana hapo Hahaha

Mtu una work hard to live large alaf ujibane kisa watu flan. #Rubbish.

Na wewe mlamba koni lazima utakuwa ni mshabiki wa Ukawa
 
Wakuu,

Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.

Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.

Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.

Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?

Message delivered

Utawakera wengi. Lakini best yangu una point. Message delivered
 
mtoa mada neno "mind your own business" lipo kichwani mwako kweli.
 
huna pesa kalale mbele wewe....haya ndo alisema mangwea..WE TOZI SEMA HUNA PESA..
 
Wakuu,

Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.

Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.

Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.

Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?

Message delivered
Bana wee bila ile fleva ningemkosa yule, usijali bana nilikuwa najaribu tu kumbe umemaindi mpaka wa leo!
 
Wakuu,

Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu.

Utakuta mwanamke mzima au mwanaume mzima amekaa chini analamba azam koni au anafyonza maziwa ya kipaketi au chupa kama mtoto au utakuta jitu zima lina fyonza pipi ya kijiti kisa usista duu na ubraza men na utozi.

Kuna haya mengine kutwa nzima anachezea magemu kama mtoto, wajameni kama mlichelewa au mlisahau kupitia stage hii ya utoto wakati mlipokua watoto na kutaka kuipractice in mature age your late.

Acheni mambo ya kitoto bwana kisa eti uzungu, uzungu uzungu Bongo bana?

Message delivered

Ndiyo kwanza amefika mjini hivi karibuni kila kitu anaona kioja.
 
ila mtoa mada yuko sawa kabisa.unakuta janajike au janadume na mvi kibao kichwani linamung'unya peremende au linalamba koni.me nayaonaga kama mazuzu flani hivi,hata hao wazungu wanaowaiga hawafanyi huo ujinga asee

Hapo kwenye bold, siyo kweli huwa wanafanya sana, na kwenye malls ziko icecreams za kila aina lakini hakuna anayejali la mwenzake.

Ndiyo maana utaona hata wengine wanatembea bila nguo lakini kila mtu na maisha yake.
 
hakika wewe ni k hata uzi wako umekaaa ki k k tu
😎
 
Wewe ni mpumbafu tu kama wengine. Vitu 90% ni vya kuiga ulaya, vitu vyetu hatuthamini hata wewe jina lako umeiga ulaya alafu unaponda. Wewe ni mpumbafu tu km huna hela kale mihogo
 
Kwa hiyo unataka wafungashe ugali wa dona na maharage wakalie pale?
 
Back
Top Bottom