sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 388
- 2,530
Unajua vijana hamjitumi kijana una degree unaomba kazi ya hovyo. Ningekusaidia ila ujanifata PM (mtu anaesaidia hana manyanyaso)....ndio maneno yao kila siku na kwa kila mtu.
Guys Ili ni jukwaa la kazi yani waomba kazi na watoa kazi wanakutana. Kwa nini utoe maneno ya kejeli kwa mwenzio. Ajira ni ngumu Sio kwamba kuna mtu anapenda kuwa low kiasi cha kuombaomba asaidiwe.
Mimi niliachaga kazi aisee mtaani pasikieni tu unaamka hauna hata mia 5 na hakuna kitu unaweza fanya circle ya ofisini na wana wanasepa simu hawapokei watapokeaje mtu kila call yake nu malalamiko lakini sio malalamiko anajarib kutoa sumu you must have to be smart to understand...niliingia mpak michezo ya kuzebenza magodaun tunaongea na mlinzi tunamweka tambala tunamgalagaza anatufungulia tunatoa mzigo chupu chup mazee 6feet under ndo nikatubu nikarud kwa mhindi nilikuwa napotea.
So mtaani ni kubaya acheni kuongea taarab huna chochote unaweza mshaur mtu maisha wa2 wamepitia mengi wewe kila sehem unatoa ushauri au na wewe ni jobless hutak wenzio wasaidiwe mwingine eti nilitaka unipm nikurushie hela ya kuchapisha wasifu na bando la barua pepe hahahaha sis sio wajinga.
Waafrika ni viumbe wenye roho mbaya sana 🚮🚮🚮
Elimu haileti mtaji mtaji una njia zake za kuupata lazima uwe na kitu cha kukubeba nafanya kazi ya hand to mouth unaniambia nichange mtaji labda miaka 10 😅😅😅
Wacha tuingie mzigoni muhindi hana huruma unachomwa na moto asubuhi mpaka jion na hakuna bima ya afya salary dusko wengine 40 sijui km tutatoboa.
Ila kuuza bisi kuonjesha watu stendi hahahaha hiyo mie hapana ata mm ningechomoa