Watu wafupi mnanini lakini?

tukimaliza hii tuje na wanawake wafupi nao. dugu moja. ukimkazia tu macho anauliza kwanini unaniangalia sana? ushanunua kesi hapo.
 
Wanawake wafupi wanene wana kina kifupi ila wanaume wafupi urefu wao umehamia chini ni wana midude mirefu mikubwa AlooooooohhπŸ™ŒπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ
 
Na tuna upwiru sana
 
Wewe ni mrefu kwa kujilinganisha na nani?

Coz urefu na ufupi hutegemea umesimama na nani au umejilinganisha na nani.
Ndo mnavyojidanganya nyie mbilikimo! Kuna futi ukishafikia tayari unakua kundi la warefuu. Kujilinganisha na mtu mwingine hiyo mbinu mmekuja nayo nyie wafupi kujifariji
 
Wanawake wafupi wanene wana kina kifupi ila wanaume wafupi urefu wao umehamia chini ni wana midude mirefu mikubwa Alooooooohh[emoji119][emoji2212][emoji2212][emoji2212][emoji2212][emoji2212][emoji2212][emoji2212][emoji2212]
Nakuona mtaalum
 
Hujafa hujaumbika...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uandishi wako huu umejaa kimajungu,hapa inaonekana Kuna vitu umezidiwa na hao wafupi wa Ofisini kwako Sasa unatafuta kujifariji Wana saikolojia tumeng'amua 🀣🀣
 
Ndo mnavyojidanganya nyie mbilikimo! Kuna futi ukishafikia tayari unakua kundi la warefuu. Kujilinganisha na mtu mwingine hiyo mbinu mmekuja nayo nyie wafupi kujifariji
Nani kakwambia kua mimi ni mfupi?

Ukifika futi ngapi ndio unahesabika kua ni mrefu? Na hiyo fact iliwekwa na nani?
 
Nakuona mtaalum
πŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…