Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Hvi kama mtu unaweza kumwambia anywe "jik"(ambayo anajua kabisa kuwa ina madhara) ila anakubali kunywa,haya yote anafanya kwa imani aliyonayo. Hivi mtu huyo ukimwambia achukue bomu akajilipue atakataa kwa hoja ipi?

Ndio tunajiuliza mkuu kuwa chanzo Cha yote hayo kinatokana na nini..!?

Mtu kupewa jik na kuigwigwida bila maulizo

Mwengine Kuchapa wenzake mboko bila nafsi kusuta

Huu ulevi chanzo chake ni Nini..!?

Na ndio maana lawama zinadondokea mifumo ya imani wanazoaminishwa pamoja na wakufunzi wao
 
kila kukicha wakristo wanaingia uislamu kwa wingi hata hapa tanzania uislamu unakuwa sana tena mna bahati nyie makafiri mnasaidiwa na bakwata , lakini hata hivyo wanaotoka ukristo dini ya kufumba macho na tuimbe ni wengi

Duuh mungu akusamehe.....
 
Hiki ndio kinanifanya niwaheshimu sana sana ndugu zetu waislamu wa Tanzania bara

Wapemba wengi ni wabaguzi, msifikili wanafanya hayo kwa wapemba wenzao

Tuendelee kuyabana tu, hayana akili haya

Huwezi kukuta waislamu wa bara wanafanya udharimu huu hata kwenye maeneo ambayo wao ni wengi zaidi ya wakristo.
 
Hao wezi hata ukiangalia muonekano wao tu. Avha wapigwe mboooo koo
 
Hii picha ni ya zamani sana haipungui miaka 3, kila ikiingia ramadhani inaletwa tena. Tukio la picha hii limepitwa na makati. Ni vizuri kutoa habari zilizopo sio zilopitwa na wakati.
Mod afute huu uzi wakichochezi
Ni wa zamani sana na yalishaga zungumzwa haya na kupatiwa ufumbuzi
 
kila kukicha wakristo wanaingia uislamu kwa wingi hata hapa tanzania uislamu unakuwa sana tena mna bahati nyie makafiri mnasaidiwa na bakwata , lakini hata hivyo wanaotoka ukristo dini ya kufumba macho na tuimbe ni wengi
we mbwa kabisa..kafiri bibi ako
 
kama ni kweli basi wao waliopigwa nao ni maboya, yena yangevunjwa miguu kabisa maana hayajui kujitetea.
Mwanaume mzima unaishije kinyonge namna hiyo!! unakuwa boya boya unaendeshwa endeshwa, unapigwa hadharani halafu unakubali tu!!!?

Halafu akirudi nyumbani na yeye anaitwa baba mwenye nyumba.
 
Kufunga ni kuwa karibu na Mungu kwani muda mwingi ni sala sasa Mtu aliyefunga anapata wapi uwezo wa kumpiga mtu .
Unafunga alafu unatenda dhambi
 
Ndio tunajiuliza mkuu kuwa chanzo Cha yote hayo kinatokana na nini..!?
Mtu kupewa jik na kuigwigwida bila maulizo
Mwengine Kuchapa wenzake mboko bila nafsi kusuta
Huu ulevi chanzo chake ni Nini..!?
Na ndio maana lawama zinadondokea mifumo ya imani wanazoaminishwa pamoja na wakufunzi wao
Ndio hivyo mkuu sasa cha kushangaza mmoja wapo et anaona dini ya mwanzake ndio ya kipumbavu.
 
Kweli kabisa mkuu kuna watu ni waislam wapo peace ila kuna hawa vichwa vyao vimejaa funza ni shida
Hakuna dini iliyo bora zaidi ya nyingine. Labda kama dini hiyo inafundisha watu kuabudu lishwetani

Isipokuwa kila dini ina watu wa ovyo ovyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom