Ramo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,818
- 1,827
Au aende Zanzibar hata kesho tu ,halafu aanze kula hadharani aone.Mkuu jamaa huwa wanabonda hao ukijifanya kujitutumua watakumaliza watawanyike.
Au aende Zanzibar hata kesho tu ,halafu aanze kula hadharani aone.Mkuu jamaa huwa wanabonda hao ukijifanya kujitutumua watakumaliza watawanyike.
Sasa tatizo dini au hao wapemba? mbona huku bara hiyo dini ipo na hakuna hayo mambo? hii tabia ya kuchukua matendo ya watu na kufanya ndio matendo ya dini nayo sio nzuri.Hii dini ina matatizo sana, ni juzi tu hapa wakristo tulikuwa na mfungo ,lakini wao hawakujali waliendelea na yao lakini kwenye mfungo wao wanataka dunia isimame..
Hiyo sio solution mkuu maadamu watu(ambao ndio wafanyaji wa hayo mambo bado wapo) basi hayo lazima yaendelee kuwepo tu,ndiyo maana baadhi ya mambo uliyotaja hapo juu watu huyafanya hadi kwenye vyama vya siasa,huko nako nako kuna chuki,itakadi kali na migogoro ya kila namna.Dini za kipumbavu pumbavu kama hizi ifike mahali ZIFUTWE! Dini inaleta UGAIDI, chuki, itikadi kali, na migogoro kila sehemu.
Eliminate these foolish zealots!
Sasa ndugu hutaki kuambiwa ukweli? Hiyo picha ni ya zamani! Ni hii hapaWe jecha washauri mabaro baro waache fujo swaumu ni amani
Mkuu wajinga wapo kila dini kunatofautiana ujinga tu,kuna dini zengine watu wamejazwa ujinga wa kunyweshwa hadi "jik" na mtu anakubali hapo hujazungumzia viongozi wa dini kutajirika na michango ya wajinga(waumini wa hiyo dini).Katika dini ambayo huwa sielewi duniani ni hii. Imejaza wajinga watupu kwa kujifanya warabu kumbe ni paka shume. Wengine ukiwapata wasome hicho kitabu chao cha KIarabu wanabaki kutoa mimacho tu. Hapo ndugu inabidi kuwa mpole tu sbb watakuua maana hiyo dini ni ya materorist. Hapo wamefunga kula na ukila mbele yao ni kosa. Huku bara walifanya vizuri sana kutoruhusu huo ujinga.
Kufunga ni lazima kwa kila muislamu asiyekuwa na udhuru wa kisheria.na ni kweli kwamba dola za kiislamu zilikuwa zinadhibiti jambo hilo kwa kuhakikisha mtu hali hadharani.kama mtu anakula basi asile hadharani...Hahaa wazungu walituweza na dini zao kula nile mimi wewe upate tabu makubwa kuna mambo watu wanafanya kudhalilisha dini sidhani mtume Muhammad kama alifanya hivo vitendo mbona kwaresma imepita na amani kila mtu akiwa busy na yake waislamu haya mambo mnatoa wapi hivi ni Mungu mtukufu au mwezi mtukufu kushinda njaa ushinde wewe mimi nile we upate tabu hahaa ni wivu tuu! ukakasi sana you know! ,na hapo wanafurahi na jioni wanafuturu eti wamefunga wazungu jamani njooni mchukue dini zenu mtu achie asili yetu ya zamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Kufunga ni lazima kwa kila muislamu asiyekuwa na udhuru wa kisheria.na ni kweli kwamba dola za kiislamu zilikuwa zinadhibiti jambo hilo kwa kuhakikisha mtu hali hadharani.kama mtu anakula basi asile hadharani...Wafia vipedo katika ujinga wao
Yaan, kwakweli sijui watu hawa wakoje. Unamlazimishaje mtu afate maisha ya aina yako?
Kufunga ni lazima kwa kila muislamu asiyekuwa na udhuru wa kisheria.na ni kweli kwamba dola za kiislamu zilikuwa zinadhibiti jambo hilo kwa kuhakikisha mtu hali hadharani.kama mtu anakula basi asile hadharani...Hadi wabeba zege wakilazimishwa kufungwa inabidi ujenzi usimame mpaka mwezi uishe
Mkuu huko kote kwenye ugaidi kuna sababu zao na sijawahi kusikia et mtu kaamua tu kujilipua au kubutua bomu na kuuwa et ili aende kupata mabikira,na kama ingekuwa hivyo basi ugaidi usingeweza kuudhibiti kabisa maana mtu anaouwezo wa kutoka na panga lake na kuanza kuchinja tu watu ili aende peponi na hali hiyo kila palipo na waislamu pasingekalika.Chuki? No! Hamna chuki hapo nakupa facts tu! Hizo doctrines wanazolishwa wafuasi huko misikitini ni chanzo cha kuzalisha magaidi kila kona ya dunia.
Huu ni mwaka wa saba masheikh wa uamsho wako nyuma ya nondo without trial! You know why? Ukilea magaidi ni mwanzo wa kuleta uharibifu! Maana mnaweza mkawa mnapata "gahawa" unashangaa jitu limeshajilipua katikati ya umati!
Ukiuliza kulikoni, unaambiwa ati mohammed aliahidi atampa bikra saba peponi!
GODDAMN!!!!!!!!!!!!
Mkuu hao wapemba na sio dini ndiyo imewataka kufanya hivyo na ndiyo maana sehemu zengine hakuna hayo mambo.Walituletea wao, wao hawatumii sisi zinatutoa roho wao wanazitumia kuchuma na kujipatia matunda lukuki, tuna miaka mingi sana kutoka katika shimo hilo, yeyote ampigae mwenzie kisa kala haradhari ni kuwa amebadilisha ratiba ya kula toka mchana kwenda usiku tu ,
Hizi dini tuzichukulie kwa akili pia
Jecha, mzee wa kupindua meza!Hii picha ni ya zamani sana haipungui miaka 3, kila ikiingia ramadhani inaletwa tena. Tukio la picha hii limepitwa na makati. Ni vizuri kutoa habari zilizopo sio zilopitwa na wakati.
Kiti Moto taaamu! 😆View attachment 1094622
Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)
Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula
Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga
Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu
Mkuu umenichekesha 2 vs 50 milSasa bakora tu ndio unashangaa? Mbona sisi zaidi ya million 50 tunaburuzwa nakupelekeshwa na watu wawili tu