Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Sasa huoni wananyanyasa wasio wa imani yao?
Kuna mambo mengi huwa tunachanganya.

Wengi wetu ni christian au muslim kwa maneno sio matendo.

Leo hii kuna baadhi ya taasisi za kikristu haziajiri wakristu wasio wa dhehebu lako(tayari kuna ubaguzi hapo )

Leo hii Kuna familia au jamii za kikristu zinapewa mafundisho ya kujitenga na watu imani fulani.

Je kwa mifano hiyo juu ni sahihi kuwanyooshea kidole ndugu zetu muslims ?
 
Ila ngozi nyeusi hairusiwi kwasababu hawana dola ee
Wazungu kama watalii wanaruhusiwa kula na kunywa, eti kwa vile wanaiingizia Zanzibar fedha za kigeni, imani zingine hizi ni za kijinga sana.
 
Huo ndio uslam tunaoishi sisi sasa huko pemba wanajifanya vitukuu vya mtume
Mimi muislamu lkn hakika huo ni ujinga tu na kukosa elimu ya dini. Huna ruhusa ya kumlazimisha mtu kufunga wala huna ruhusa ya kumzuia mtu kula hadharani. Walichokifanya kimetokana na utashi wao binafsi na sio maelekezo ya dini ya kiislamu.
 
View attachment 1094622

Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)

Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula

Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga

Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu
Wapigwe kabisa
 
Hawa tusiwape uhuru hadi akili ziwakae sawa tena ikibidi zanzibar iwe mkoa tu kwasababu uwezo wa kufanya hivyo tnayo
Hiki ndio kinanifanya niwaheshimu sana sana ndugu zetu waislamu wa Tanzania bara

Wapemba wengi ni wabaguzi, msifikili wanafanya hayo kwa wapemba wenzao

Tuendelee kuyabana tu, hayana akili haya

Huwezi kukuta waislamu wa bara wanafanya udharimu huu hata kwenye maeneo ambayo wao ni wengi zaidi ya wakristo.
 
Zanzibar asilimia 99 ni waislam, hata wasio waislam ikifika ramadhani hufunga, na kujumuika na waislam, hii Ndio tamaduni ya zanzibar.

Umetoka tanyanyika unakuja zanzibar kuuza gongo? Ramadhani tena? Unataka nini hasa? Utachapwa fimbo mpaka utanyooka, Tanzania mwisho chumbe, huku tunaita zanzibar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom