Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,180
- 124,849
Ila kiukweli kabisa, ni asilimia ngapi ya wakristo huwa wanafunga kwaresma? Ni idadi ndogoHii dini ina matatizo sana, ni juzi tu hapa wakristo tulikuwa na mfungo ,lakini wao hawakujali waliendelea na yao lakini kwenye mfungo wao wanataka dunia isimame..