Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

View attachment 1094622

Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)

Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula

Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga

Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu
Kila mahala kuna mila na tamaduni zake. Hivyo basi tunapozungumzia mambo tusikurupuke.
'Ukiwa Roma kuwa kama Warumi'
 
Ukweli mchungu ngio huu..sheria na kanuni za znz ..zinaegemea sana kwenye dini!
Labda kwa wageni ndio hamjui hilo ..
ndio hivyo...toka enzi na enzi...
Wajuzi wanatambua hilo na wala hawana tabu nalo!
Kulazimisha znz iwe kama bara kisa muungano ndio maana wengi hawautaki.... mengi yanachangia!
Tatizo wanatawaliwa...hawana la kufanya...lkn kama ni kuchagua...
Ingekuwa tunaongea mengine mda huu@
mkuu sisi wengi hatujui impact ya muungano ndo maana tunapiga mayowe ila wale wenyewe walikaa wakafanya muungano na wakaelewana wakajua tija zake. Muungano ni muhimu sana na ndo maana unaona kuna mambo ya mungano na yasiyo ya muungano. Mkuu maswala ya imani ni imani pia
 
View attachment 1094622

Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)

Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula

Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga

Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu

Ukisikia vijan wa kijinga ndiyo hawa, hawana kazi na hawajalazimishwa kufunga eti wanasaka wenzao. Kudadadeki yaani mie niwe nakula kwa hela zangu mwenyewe kisha mtu aje nitandika fimbo? Kumanina zake huyo hata awe sheikh mkuu nitamfila hadharani nakumpa kichapo ambacho kama atapona basi atajuta kwanini sijamuua. Huu ni ujinga sana, dini za watu wengine mtu unashabikia tu bila hat kujuwa ukweli wake.
 
Tamaduni ya kulazimisha mtu kufunga kisa anaitwa Abdul?

Huu ni upumbavu sana, yaani vijana wa kiislam kwa kweli kichwani ni kama vile "Kipanya," HAKUNA mtu aliyekatazwa kula, ya nini kulazimisha watu kufunga?
 
Tamaduni ya kulazimisha mtu kufunga kisa anaitwa Abdul?
Hiyo ndiyo hali halisi. Kwa hiyo ni chaguo lako kwenda huko kipindi hiki au kutokwenda huko.
Hivi sasa unguja ni nadra sana kuona mtu anakula mchana na hata watalii kutoka nje wanaelewa hivyo.
Hizi ni mila na silka za watu wa pwani hususan zanzibar.
 
Jamani nyie acheni uzushi 'na uongo hiyo pemba gani acheni ujinga 'na upotoshaji,hakuna mtu aliepigwa Pemba au Unguja kwa sababu ya kutokufunga,hizo picha ni ghasia zinazofanyika maeneo mengine lkn mwaka wa nne sasa huu mnasubiria mwezi mtukufu mnazitoa na kuchafua uhalisia wa sehemu mnazozitaja.
Mkome 'na kuacha uzushi mtachomwa moto kwa Muumba.
 
Hii picha ni ya zamani sana haipungui miaka 3, kila ikiingia ramadhani inaletwa tena. Tukio la picha hii limepitwa na makati. Ni vizuri kutoa habari zilizopo sio zilopitwa na wakati.
Upo sahihi kabisa sijui kwanini wanakuwa wazushi na wanaotumiwa wanakoment ujinga bila kuhoji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom