Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Wajinga tu hao eti wame funga funga! funga gani hiyo wana kuwa na matamaabya nyama kufuata wenzao wana kulanvyao. Pumbavu kabisa hao
 
Mbona bara tunafanya nao vibarua wakati wa kula wanakaa pembeni tunapiga story? Kweli zenji mdebwedo.
 
Kufunga sio lazima shekh wangu kuna waislam wengi tu huko pemba hawajafunga

Zanzibar ni sehemu ya Tanzania
Zanzibar asilimia 99 ni waislam, hata wasio waislam ikifika ramadhani hufunga, na kujumuika na waislam, hii Ndio tamaduni ya zanzibar.

Umetoka tanyanyika unakuja zanzibar kuuza gongo? Ramadhani tena? Unataka nini hasa? Utachapwa fimbo mpaka utanyooka, Tanzania mwisho chumbe, huku tunaita zanzibar.
 
Mkuu huko kote kwenye ugaidi kuna sababu zao na sijawahi kusikia et mtu kaamua tu kujilipua au kubutua bomu na kuuwa et ili aende kupata mabikira,na kama ingekuwa hivyo basi ugaidi usingeweza kuudhibiti kabisa maana mtu anaouwezo wa kutoka na panga lake na kuanza kuchinja tu watu ili aende peponi na hali hiyo kila palipo na waislamu pasingekalika.
Kuna jamaa mmoja kule Iran alikatwa panga la shingo kwasababu amesikiliza wimbo wa Rick Rose!
 
Kabisa kufunga ni kujuzuia kyjisogeza zaidi na Muumba wetu ila usiwaudhi wengine
Mimi ni Mroma na nilikuwa sifungaji yaani tangu kuzaliwa kwangu lakini sasa hivi muda mwingi huwa nafunga .Nilichojifunza kufunga unakuwa na unyenyekevu kwa muda mwingi unamtafakari Mwenyenzi Mungu kwa makuu.
Kufunga kunatoa majibu kwa mtu mwenye shida
 
Zanzibar asilimia 99 ni waislam, hata wasio waislam ikifika ramadhani hufunga, na kujumuika na waislam, hii Ndio tamaduni ya zanzibar.

Umetoka tanyanyika unakuja zanzibar kuuza gongo? Ramadhani tena? Unataka nini hasa? Utachapwa fimbo mpaka utanyooka, Tanzania mwisho chumbe, huku tunaita zanzibar.
Nyinyi ni magaidi na tunalitambua hilo! Mtaendelea kubinywa kisayansi mpaka mafunza yawatoke vichwani! Nenda segerea ulizia mashehe wa uamsho! Watakuja kwa mafungu mafungu utawasabahi vema.
 
Hii tabia inayofanywa na baadhi tu ya waislamu na kuchukuliwa ni dini hii ni tatizo sana. Mbona matukio yafanywayo na nchi za kikristo hazitafsiriwa kuwa ni ukiristo ngoja niyataje baadhi
1. Ndoa za jinsia moja
2. Kuhalalisha ushoga
3. Mwanamke mkiristo kuolewa na
mbwa.
4. Mapicha ya ngono, na ngono za wanyama kuwaingilia wanawake wa kikristo na wanyama kuwaingilia wanaume na wanaume kuwaingili wanyama
Lakini huu uchafu hauelekezwi kama ni wakiristo lakini itokeapo mwenye jina linaloshabihiana na uislamu na ametenda jambo baya basi inaelekezwa kwenye dini. Waafrika wapumbavu
 
Na hii ni vipibona hamjibu?

Halafu watapata thawabu kwa kuua mtu aliyekuwa anakula na hana magusiano na imani yao.

Kweli binadamu ni hatari kuliko simba mwenye njaa.
 
Halafu watapata thawabu kwa kuua mtu aliyekuwa anakula na hana magusiano na imani yao.

Kweli binadamu ni hatari kuliko simba mwenye njaa.
Mkuu usifikili hawa jamaa wanafanya hivi kwasababu ya uislamu wao, hawa jamaa ni wabaguzi hatari

Huwabagua hadi waislamu wa bara

Kinachowaponza wapemba ni ujinga, wengi hawana akili kule.
 
Shekh umefunga kweli we?
Zanzibar 99% ni waislamu,sasa kama mtu mzima mwenye akili timamu anashindwa kusoma alama za nyakati afanyajwe? Asubirie Mwezi Mtukufu uishe,Ibilisi atoke kifungoni aungane nae,sio ndani ya mfungo
 
Zanzibar 99% ni waislamu,sasa kama mtu mzima mwenye akili timamu anashindwa kusoma alama za nyakati afanyajwe? Asubirie Mwezi Mtukufu uishe,Ibilisi atoke kifungoni aungane nae,sio ndani ya mfungo
Unaushahidi huyo ibilisi yupo..?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom