Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,547
hahahaNaua mtu
hahahaNaua mtu
Hii picha ni ya zamani sana haipungui miaka 3, kila ikiingia ramadhani inaletwa tena. Tukio la picha hii limepitwa na makati. Ni vizuri kutoa habari zilizopo sio zilopitwa na wakati.
Milion 50? HowSasa bakora tu ndio unashangaa? Mbona sisi zaidi ya million 50 tunaburuzwa nakupelekeshwa na watu wawili tu
Sasa bakora tu ndio unashangaa? Mbona sisi zaidi ya million 50 tunaburuzwa nakupelekeshwa na watu wawili tu
Kwahiyo unakubali kuchapwa kwa sababu hujafunga?Kwa Zanzibar ilivyo ingeachwa tu iwe nchi kamili maana kuna wagaratia wanaishi huko kikazi au la ila maisha yanakuwa magumu Sana kutokana na mfumo dume wa kiarabu
Kichuri ni kitu ganiDuh....hata hao wanaochapwa ni walaini sana....hapo ntatoa mtu kichuri
Hawa wapemba tunawatuma waha wakafinywe heshima ijeHahaa wazungu walituweza na dini zao kula nile mimi wewe upate tabu makubwa kuna mambo watu wanafanya kudhalilisha dini sidhani mtume Muhammad kama alifanya hivo vitendo mbona kwaresma imepita na amani kila mtu akiwa busy na yake waislamu haya mambo mnatoa wapi hivi ni Mungu mtukufu au mwezi mtukufu kushinda njaa ushinde wewe mimi nile we upate tabu hahaa ni wivu tuu! ukakasi sana you know! ,na hapo wanafurahi na jioni wanafuturu eti wamefunga wazungu jamani njooni mchukue dini zenu mtu achie asili yetu ya zamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ndio unafiki sasa mimi nakula bwanaMchana wa leo nilikua pale Kisonge wakapita jamaa na dada wa kizungu na juice zao na 'biskuti' safi wanakula tena dada kavaa kikaptula kifupi mno.
Sasa fanya haya wewe mwenzangu mweusi mwenzao wanakutolea macho kama upo uchi, wanakuzodoa ila kwa wazungu wanakua kimyaa.
Adui wa mweusi ni mweusi mwenzie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kufunga by power by force [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Aha utawavua balagashiaWanaangalia na watu wa kuwafanyia hivyo kama ni Mimi patachimbika hapo
Wanashika mkono mkuu alafu unatandikwa matakoniYani ningekuwa mm ndo wanifanyie hivyo ningeanzisha vagi ilo sio la nchi hii
Mnyama gani kwa mfanoHizi dini kuna baadhi ya watu wanashindwa kuzielewa mwshowe wanakuwa kama wanyama.
Huo utaratibu sio mzuri acheni mara mojaSasa kama raia wenyewe tu wanatembeza bakora mtaani halafu mtu anashangaa serikali kuzuia mahoteli kuuza chakula mchana wa ramadhani,ndio maana nasema huo ni utaratibu wao wenyrwe wazanzibari.
Hapo ndipo ngozi nyeupe inatuzidi akiliLakini kwa wazungu mnakuwa wapole, wanavaa hovyo mnakuwa kimya, kipindi hiki wanakula mitaani hovyo hamsemi wakila weusi wenzenu kelele kibao
Halafu yeye mkewe anampikia alia chumbani akitoka povu kumbe kashibaMkuu Wa mkoa Wa huko katangaza khali ya hatari kwa wasiofunga na kula hadharani umesikia taharifa yake?
kila kukicha wakristo wanaingia uislamu kwa wingi hata hapa tanzania uislamu unakuwa sana tena mna bahati nyie makafiri mnasaidiwa na bakwata , lakini hata hivyo wanaotoka ukristo dini ya kufumba macho na tuimbe ni wengi
Halafu yeye mkewe anampikia alia chumbani akitoka povu kumbe kashiba