Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Kwa hiyo ni chuki zako ndio zinakwambia uislam una mafundisho ya indoctrination??
Chuki? No! Hamna chuki hapo nakupa facts tu! Hizo doctrines wanazolishwa wafuasi huko misikitini ni chanzo cha kuzalisha magaidi kila kona ya dunia.

Huu ni mwaka wa saba masheikh wa uamsho wako nyuma ya nondo without trial! You know why? Ukilea magaidi ni mwanzo wa kuleta uharibifu! Maana mnaweza mkawa mnapata "gahawa" unashangaa jitu limeshajilipua katikati ya umati!

Ukiuliza kulikoni, unaambiwa ati mohammed aliahidi atampa bikra saba peponi!

GODDAMN!!!!!!!!!!!!
 
Kuna mambo mengi huwa tunachanganya.

Wengi wetu ni christian au muslim kwa maneno sio matendo.

Leo hii kuna baadhi ya taasisi za kikristu haziajiri wakristu wasio wa dhehebu lako(tayari kuna ubaguzi hapo )

Leo hii Kuna familia au jamii za kikristu zinapewa mafundisho ya kujitenga na watu imani fulani.

Je kwa mifano hiyo juu ni sahihi kuwanyooshea kidole ndugu zetu muslims ?
Mimi sio mfuasi wa ukristo! Kama hayo yanafanyika basi ni tatizo!
 
Dah wee jamaa ni mbaguzi na mfia dini
Siyo mbaguzi ndiyo ukweli wenyewe huo. Sasa hapo ndiyo ujue kuwa hao ndiyo materorist goma kuchapwa kama hawajakuua. Mbona wakristu wanafunga na shughuli zinaendelea kama kawaida, watu wanakula na kunywa lakini hawakatazwi. Ukijua hawa watu ni wagonjwa wa akili kula mbele yao dah! halafu cha ajabu wapo kwenye mwezi mtukufu. Dini yako uwape watu karaha au umeambiwa hiyo zanzibar wananchi wake ni waislamu tu?. Dini zingine ni ujinga mtu sitaki hata kuisikia. Kwahiyo ukivaa mavazi ya kiarabu na ww unakuwa mwarabu na kuanza kuwaterorize watu. Huo unaondelea hapo kwa kuwachapa watu wasile ni UGAIDI.
 
Kifupi watu inabidi wajue maana halisi ya dini...

Hizo sheria,Mungu alizoweka hajaweka kukupima kiwango chako cha utii kwako kwake,ameweka hili uweze kuishi dunia vizuri na watu wanaokuzunguka...

Usiue,kwani ukiua wewe, Mungu Ana hasara gani?kama sio utaozea jela tu.usizini,kwani ukizini, Mungu Ana hasara gani???Kama sio utakufa mwenyewe tu.mpende jiran yako,je ukimpenda Ni kwa faida ya Nani?kama sio wewe mwenyewe???

Mnakalili sana hizi dini,dini zipo pale kukufanya uishi maisha ya amani,upendo na furaha hapa duniani..

Matokeo yake,jitu linatumia dini kumdharau mwingine,kumnyima mtu kazi,kumwita mwenzake gaidi,kumuona mwenzake ndo mchafu sana yaani concept nzima ya dini imepotea,leo hii watu wanauana sababu Ni dini tofauti!sasa Nini faida ya dini Kama inakupa chuki?inakufanya umdharau mwingine, inakufanya ujitenge na wenzako!!!

Dini sio kwa ajili ya Mungu kwa ajili yako wewe uishi vizuri duniani kabla ya kwenda mbinguni.
 
Lakini kwa wazungu mnakuwa wapole, wanavaa hovyo mnakuwa kimya, kipindi hiki wanakula mitaani hovyo hamsemi wakila weusi wenzenu kelele kibao
Matangangazo ..maonyo na makatazo yametolew hata mahotelini hao wazungu na ma guide wanajua fika@
Shida ni kwamba znz inategemea utalii so imeweka adhabu kali kwa atakaye mgusa mtalii.
Ila akionekana na wanausalama haachwi bure!
Walisha dundwa sana tu mpaka kwa mawe... wakatishia kugomea kuja znz!

Muhimu ni kuheshimu sheria...
kula ndani..mbona haina shida??
 
Wanaangalia na watu wa kuwafanyia hivyo kama ni Mimi patachimbika hapo
labda upite mda hawapo wanyooshaji..au ndani ndani huko wanakokaa wakuja wengi!
Lakini njoo upite ukila ovyo..watakufunda tu!
Tena wanakuwinda pole pole bila kushtuka!
 
Tatizo pemba na unguja wanajikuta wao sio wa bara sasa wao ni wanani???mana kutawaliwa na yule mwarabu wanajikuta sio wa bara ni ujinga.
Kuna mkoa unaoitwa wabara?

Si vibaya kulinda utaifa wao!
Mchaga..kwao moshi..nyamwezi..kwao tabora ..muhaya..kwao kagera..
Mnataka wao kwao iwe wapi?
Acheni ubaguzi...
Na uonevu...
Kujiita wazanzibar ni kosa? waseme wao wandengereko au wakaguru?
Udhaifu upo ila mengine..hapana..
 
Kifupi watu inabidi wajue maana halisi ya dini...

Hizo sheria,Mungu alizoweka hajaweka kukupima kiwango chako cha utii kwako kwake,ameweka hili uweze kuishi dunia vizuri na watu wanaokuzunguka...

Usiue,kwani ukiua wewe, Mungu Ana hasara gani?kama sio utaozea jela tu.usizini,kwani ukizini, Mungu Ana hasara gani???Kama sio utakufa mwenyewe tu.mpende jiran yako,je ukimpenda Ni kwa faida ya Nani?kama sio wewe mwenyewe???

Mnakalili sana hizi dini,dini zipo pale kukufanya uishi maisha ya amani,upendo na furaha hapa duniani..

Matokeo yake,jitu linatumia dini kumdharau mwingine,kumnyima mtu kazi,kumwita mwenzake gaidi,kumuona mwenzake ndo mchafu sana yaani concept nzima ya dini imepotea,leo hii watu wanauana sababu Ni dini tofauti!sasa Nini faida ya dini Kama inakupa chuki?inakufanya umdharau mwingine, inakufanya ujitenge na wenzako!!!

Dini sio kwa ajili ya Mungu kwa ajili yako wewe uishi vizuri duniani kabla ya kwenda mbinguni.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hizi dini zililetwa Africa zimefanya miafrica kuwa mijinga tu.
kila kukicha wakristo wanaingia uislamu kwa wingi hata hapa tanzania uislamu unakuwa sana tena mna bahati nyie makafiri mnasaidiwa na bakwata , lakini hata hivyo wanaotoka ukristo dini ya kufumba macho na tuimbe ni wengi
 
Kuna vipengele kwenye hii seen inapaswa vifanyiwe marekebisho
 
Walituletea wao, wao hawatumii sisi zinatutoa roho wao wanazitumia kuchuma na kujipatia matunda lukuki, tuna miaka mingi sana kutoka katika shimo hilo, yeyote ampigae mwenzie kisa kala haradhari ni kuwa amebadilisha ratiba ya kula toka mchana kwenda usiku tu ,
Hizi dini tuzichukulie kwa akili pia
 
labda upite mda hawapo wanyooshaji..au ndani ndani huko wanakokaa wakuja wengi!
Lakini njoo upite ukila ovyo..watakufunda tu!
Tena wanakuwinda pole pole bila kushtuka!
ha haaa haaa uchu wao na uroho ndo unawasumbua imani si kumvizia mtua atende umwadhibu, pia si lazima mtu afanye ka vile wapendavyo hii ni nchi ya uhuri isiyo na dini wala ukabila labda watu wake
 
Matangangazo ..maonyo na makatazo yametolew hata mahotelini hao wazungu na ma guide wanajua fika@
Shida ni kwamba znz inategemea utalii so imeweka adhabu kali kwa atakaye mgusa mtalii.
Ila akionekana na wanausalama haachwi bure!
Walisha dundwa sana tu mpaka kwa mawe... wakatishia kugomea kuja znz!

Muhimu ni kuheshimu sheria...
kula ndani..mbona haina shida??
chakula chako uke umejificha hah aaa haaa sheria za kidini haziongozi serikali ya mapinduzi bana wabadilike wabaki katika imani na waache haya ya kidunia maana kumpiga mtu hakukuongezei hata thawabu, kwani kunamahali pamesema utapata thawabu? hizidini zililetwa na wageni enzi hizo tulikuwa na mito, miti, milima, mapango , misitu tulikuwa twaabudu hivyo na maisha yalienda kama kawaida so tuongozwe na akili pia, tuwafundishe pia mie wale nawachukulia ka vibaka na wahuni tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom