Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

kila kukicha wakristo wanaingia uislamu kwa wingi hata hapa tanzania uislamu unakuwa sana tena mna bahati nyie makafiri mnasaidiwa na bakwata , lakini hata hivyo wanaotoka ukristo dini ya kufumba macho na tuimbe ni wengi
Nenda makanisani uone waislam wanavyo jaa kwanza huko kwa mabii ndiyo wanaongoza kwenda
 
[emoji3][emoji3]hao wanashtua chumbani
Sana mkuu, niliwahi ishi nyumba moja na mama huyo akianza kupika tunafunga gate akimaliza chumbani akitoka huko anacheka, tena anawambia mtu akija mwambieni sipo kumbe anakula sembe la samaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini umlazishe mtu kila mtu anatabeba dhambi zake
 
Infereority bila sababu
Hii dini ina matatizo sana, ni juzi tu hapa wakristo tulikuwa na mfungo ,lakini wao hawakujali waliendelea na yao lakini kwenye mfungo wao wanataka dunia isimame..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom