Kuna watu kila thread yeye anacomment kuanzia asubuhi hadi jioni. Utakuta kwenye thread moja mtu ana comment zaidi ya 20, halafu amecoment thread 20 au 30. kwa wastani kila dakika anakuwa amecoment kitu. Kazi anafanya saa ngapi? naamini wengi wameajiliwa kwa mantik hiyo wanaiba muda wa mwajir na hivyo wanalipwa malipo ambayo hawastahili. huu ni wizi mkubwa.
hata kama umejiajir, lazima ulipwe kutokana na kazi unayoifanya. sasa kama siku nzima wewe unacomment mmu hiyo kazi unafanya saa ngapi? pia mnalipwa malipo haramu. na huu pia ni ufisadi ambao wengi humu wanajifanya kuupinga hali wao ni mafisadi wakuu. kwa mtindo huu uzalendo uko wapi. nchi hii itaendelea kweli.
Fanyeni kazi badala ya kushinda kupiga umbea mitandaoni.
Ngumu kumeza lakini ukweli ndio huo.
Kiritimba,
25.11.2011