sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Hahaha! Alijaribu kutikisa kiberiti akakuta kiko full, hakitikisiki....Hata mimi nashangaa leo karudi kufanya nini tena hapa. Hajui pia wengine hii ndio ajira yao?
Hahaha! Alijaribu kutikisa kiberiti akakuta kiko full, hakitikisiki....Hata mimi nashangaa leo karudi kufanya nini tena hapa. Hajui pia wengine hii ndio ajira yao?
Kuna watu kila thread yeye anacomment kuanzia asubuhi hadi jioni. Utakuta kwenye thread moja mtu ana comment zaidi ya 20, halafu amecoment thread 20 au 30. kwa wastani kila dakika anakuwa amecoment kitu. Kazi anafanya saa ngapi? naamini wengi wameajiliwa kwa mantik hiyo wanaiba muda wa mwajir na hivyo wanalipwa malipo ambayo hawastahili. huu ni wizi mkubwa.
hata kama umejiajir, lazima ulipwe kutokana na kazi unayoifanya. sasa kama siku nzima wewe unacomment mmu hiyo kazi unafanya saa ngapi? pia mnalipwa malipo haramu. na huu pia ni ufisadi ambao wengi humu wanajifanya kuupinga hali wao ni mafisadi wakuu. kwa mtindo huu uzalendo uko wapi. nchi hii itaendelea kweli.
Fanyeni kazi badala ya kushinda kupiga umbea mitandaoni.
Ngumu kumeza lakini ukweli ndio huo.
Kiritimba,
25.11.2011
Lol, yupo busy na kazi akirudi atakujibu...JF Senior Expert Member Array
Join Date : 18th August 2011
Posts : 444
Rep Power : 21
Nimekwazika! Kwa herini MMU
Sina mengi ya kusema lakini kutokana na kuandamwa na "wakongwe" wa humu kwa sababu wanazozijua wao nimeamua kuwaachia jukwaa lenu.
Baada ya saa 5.45 usiku wa leo hamtaniona tena. Nilichotarajia kukipata (ushauri na social interaction) sikukipata bali nimekipata walichotarajia "wakongwe" wa humu (kama ambavyo naeleza mstari fatwa).
Nimepigwa mizengwe, nimetukanwa, nimekejeliwa, nimetemewa mate,...........hivyo nawaachieni "jukwaa lenu".
Naomba msamaha kwa wote niliowakwaza kama ambavyo mimi nimewasamehe wote walionikwaza na kunikosea.
Sitaingia tena kwenye jukwaa lenu.
Nawakieni MMU mwema.
Ndimi,
kiritimba
retired and resigned prematured @ mmu
kiritimba jana ulikua unatikisa kibiriti tu nini?
Tutabisha lakini me binafsi naona ni ukweli,tena hz international companies wameshaanza kulalamika wa tz tunatumia muda mwingi kwa social sites kuliko kufanya kazi na tunapenda kutoa excuse kibao
auchiiiiiiiii
Unawachoma wengi humu duhhh
Kiritimba kama lilivyo jina lake anaonekana anaupenda Ukiritimba sana na Kiritimba si mtu wa kuaminiwa hata chembe hivyo BW nakupa pole kwa kumkaribisha mtu asiyeaminika kama mla unga leo atakwambia nimeacha kesho yumo!!!!!!Kiritimba karibu tena
Na wewe ni miongoni mwa wale wasiokuwa na cha kufanya ndio maana sasa hivi uko hapa.Wengi hawana cha kufanya humu. Hushinda nyumba ya keyboard zao kupost tu kutwa nzima.
Wanaoiba muda wa mwajiri ni wachache kuliko wasio na cha kufanya wanaopost kila dakika kutwa nzima non stop.
hujambo mrembo
nakupitia twende kwenye mnuso ngalelo jioni usisahau kuja na kale kachupa
hivi mwizi ni yule anayekomment kila uzi au anayeshinda kuangalia nani kacomment?
Kwa hiyo hizo phone zinajiendesha Automatic eh!