Watu wa Dar ni washamba

Watu wa Dar ni washamba

Am never interested in those things...

We jamaa unapata tabu sana. Mrudie Mungu akuokoe kutoka hiyo jehanamu inayo kutafuna...

You are deteriorating your soul. Acha huo ujinga.
Misoji tafadhali ntakuonga hata jahazi zangu 6 za uvuvi.

Binti kama wewe wa kisukuma ntakufundisha adabu njema na ustaarabu uachane na ule ushamba wa kulala na ng'ombe maporini.

Nakuja PM mrembo.
 
Baada ya kuishi Dar.. Nimegundua essentially watu wanao run hili jiji ni makabila mengine kabisa...

Wazawa ni mazombie..

Kazi Kukesha vibarazani, kupiga zogo..

Hakuna jamii nzembe kama waishio ukanda wa bahari.. Sijui nini tu... Kazi kupakia chakula junk tu.. Mijitu imefutuka kama viboko.

Watu wa Dar, hawana staha kabisa, watoto hawasalimii wakubwa, utasalimiwa kama huyo dogo umezoea kumpa hela tu..

Kutukana matusi ni kama kiunganishi kama sentensi zao..

Alafu cha kuongeza, watu wa Dar ni wa chafu, mtu anafanya biashara ukiangalia mazingira kuna uchafu... Mtu anauza matunda, nzi wamezunguka... Na hajistukii.. Inshort mnasemaga watu wa mikoani washamba ila majitu ya Dar.. Ovyo kabisa.

Kazi zao, ni udalali, uwinga, uchawa na kutaka miteremko tu...

Ndo maana sisi ambao tunaishi huku tunayatawala tu.
Rudi kwako haujafukuzwa
 
tumeishi nao hao wanarithishana tabia
Kuvunja mzizi ni kukaa nao mbali ukipata pisi niweke ndani na asizoeane kabisa na nduguze... Au mpeleke mkoani huko...

Ukikubaki tu mashemeji ndugu umeisha.. Wanawake wa huku wapo radhi wakuchape tinguri ulale nao..
 
Kama ulikuwa haujui sasa hivi dar wenyeji ni wachache sana tena wa kuhesabu,wengi wameuza maeneo wamekimbilia mkuranga,kisarawe,vikindu,kisemvule,mbande,tambani,chanika uko.
Vijana wengi wazaliwa wa dar wengi wameona fursa wapo mikoani uko,wengine fursa zimefunguka zaidi wamevuka mipaka ya nchi.
Wa mikoani ndio waliojazana dar

.
 
Baada ya kuishi Dar.. Nimegundua essentially watu wanao run hili jiji ni makabila mengine kabisa...

Wazawa ni mazombie..

Kazi Kukesha vibarazani, kupiga zogo..

Hakuna jamii nzembe kama waishio ukanda wa bahari.. Sijui nini tu... Kazi kupakia chakula junk tu.. Mijitu imefutuka kama viboko.

Watu wa Dar, hawana staha kabisa, watoto hawasalimii wakubwa, utasalimiwa kama huyo dogo umezoea kumpa hela tu..

Kutukana matusi ni kama kiunganishi kama sentensi zao..

Alafu cha kuongeza, watu wa Dar ni wa chafu, mtu anafanya biashara ukiangalia mazingira kuna uchafu... Mtu anauza matunda, nzi wamezunguka... Na hajistukii.. Inshort mnasemaga watu wa mikoani washamba ila majitu ya Dar.. Ovyo kabisa.

Kazi zao, ni udalali, uwinga, uchawa na kutaka miteremko tu...

Ndo maana sisi ambao tunaishi huku tunayatawala tu.
Pole sana mkuu kwa changamoto ulizopitia.

Kuhusu watu kuishi Dar kizembe bila kufanya kazi umejaribu kuishi hapo ukaona kama unaweza kutoboa miezi mitatu ukiwa mvivu kama wao ?
 
Kama ulikuwa haujui sasa hivi dar wenyeji ni wachache sana tena wa kuhesabu,wengi wameuza maeneo wamekimbilia mkuranga,kisarawe,vikindu,kisemvule,mbande,tambani,chanika uko.
Vijana wengi wazaliwa wa dar wengi wameona fursa wapo mikoani uko,wengine fursa zimefunguka zaidi wamevuka mipaka ya nchi.
Wa mikoani ndio waliojazana dar

.
Haya Jidanganye... Wenye nazo Dar sio wazawa na wazawa wanashindwa vibaraza

Matajiri ni either waarabu au watu wapambanaji kutoka mikoani
 
Haya Jidanganye... Wenye nazo Dar sio wazawa na wazawa wanashindwa vibaraza

Matajiri ni either waarabu au watu wapambanaji kutoka mikoani
Rudia tena kusoma nilichokiandika.
Nimekwambia % kubwa wenyeji wamekimbia dar wameuza maeneo yao wapo nje ya mji.
Wageni ndio wameshikilia jiji
 
Rudia tena kusoma nilichokiandika.
Nimekwambia % kubwa wenyeji wamekimbia dar wameuza maeneo yao wapo nje ya mji.
Wageni ndio wameshikilia jiji
Aliye kudanganya ni nani?
Ukisha wahi kuiona hiyo asilimia mikoani au unajiropokea..?

Yaani Mzaramo aka survive mkoani kweli?

Uko sawa kichwani kweli?
 
Asilimia 70 ya wazaliwa WA dar wengi wameamia kibaha, mlandizi chalinze chanika, mkuranga kisarawe mbande bagamoyo, vikindu

Wamewaachia jiji nyinyi walugaluga, mkishajaza uko mtawafata tena maana walipoaamia wao kutakua kumejengeka na kuendelea kuzidi kwenye uyole.

Halaf watawapisha tena tutaenda msata mkata, rufiji hadi karibu na morogoro, Na kutaendelea kuliko kwenu uyole

Halafu rudi hapa useme wazawa washamba, mnatoroka kwenye mnakuja mjini mnalala chini ya madaraja mnatembeza mabesen na chupa za chai halafu ukipata tu chumba chakulala mnasema wazawa wavuvi

Wageni wenye maisha afadhali dar ni wafanyakaz wa serikali, kampuni kubwa, wakulima, na biashara za kueleweka

Wengi wenu ni wauza bar, Malaya, ombaomba mnajifanya viwete, maspika stend kujifanya wachungaj, wauza viombo, wauza accessories za simu, wauza Maj na juis stand, wabeba mizigo, saidia fundi, wauza mbogamboga, watembeza matunda, WAuza juis mtaani mnatembeza,mawinga kariakoo
 
Sema una point. Inakuwaje wenye maduka waweke sijui mawinga ambao wanaongeza bei ya bidhaa. Maana yake wameona hiyo jamii ya watu wa Dar ambako mawinga wamejaa ni ya kishamba hawajui kuthaminisha bidhaa.

Ni maoni tu watu wa Dar sina chuki lakini kwa uchafu wa hilo jiji AFCON tutaaibika sana ka drone kakipiga picha kwa juu pale Kwa Mkapa
 
Ndo hao hao wanakuja kuanzia chini wanakuja kuwa matajiri baadae..

Ila mzawa mshenzi anakalia kuuza tako tu
Nan kawa tajiri? Hao wakinga wanaoua ndugu zao au wakina nani, maana utajir asilimia 80 ya watu wa bara ni ushirikina ukiacha hawa wafanyakaz wa tamisemi
 
Back
Top Bottom