Confession
JF-Expert Member
- Mar 30, 2019
- 803
- 2,593
Nilichagua amani for my own peace of mind lakini naona huchoki.Nuulize anajua mwenyewe.
Skia Confession nilisha kuambia don't mess up, ila bado unaendelea sasa, unakuja na ID ya hydroxo na hata kujificha kwa picha nako umeshindwa kmmk..
Ulianza PM na leo unanitag kwenye thread. Unataka nini from me
7 years nipo jf bila ugomvi na mtu but it seems upo dedicated. Endelea tu