Watu wa Dar ni washamba

Watu wa Dar ni washamba

Kwani kumsakimia kubwa akiyekaribu yako mfano umekaa na kijana mdogo kwenye usafiri, unakuta Kala buyu then maco yote kwa simu za kununuliwa.. Tena watoto wa kika sasa, unakipawa salamu kina kukata jicho hilo kama shetani.

Ni laana tu watu wa Dar wamebeba

Sio watu wa Dar. Kikawaida kuna tabia za mijini na vijijini.

Wewe mtu mzima mwenye tabia njema nini kinakuzuia usianze wewe kutoa salamu kuonyesha mfano?
 
Baada ya kuishi Dar.. Nimegundua essentially watu wanao run hili jiji ni makabila mengine kabisa...

Wazawa ni mazombie..

Kazi Kukesha vibarazani, kupiga zogo..

Hakuna jamii nzembe kama waishio ukanda wa bahari.. Sijui nini tu... Kazi kupakia chakula junk tu.. Mijitu imefutuka kama viboko.

Watu wa Dar, hawana staha kabisa, watoto hawasalimii wakubwa, utasalimiwa kama huyo dogo umezoea kumpa hela tu..

Kutukana matusi ni kama kiunganishi kama sentensi zao..

Alafu cha kuongeza, watu wa Dar ni wa chafu, mtu anafanya biashara ukiangalia mazingira kuna uchafu... Mtu anauza matunda, nzi wamezunguka... Na hajistukii.. Inshort mnasemaga watu wa mikoani washamba ila majitu ya Dar.. Ovyo kabisa.

Kazi zao, ni udalali, uwinga, uchawa na kutaka miteremko tu...

Ndo maana sisi ambao tunaishi huku tunayatawala tu.
Watu wanaoishi pembezoni mwa nchi ni tatizo sana mkuu.Dasalama?Iko pembezoni mwa nchi.
 
Back
Top Bottom