Watu wa Dar es Salaam muache hii tabia, mnakera

Tena nyie wa Mwanza ndio tunawaogopeni sana. Mnapiga mizinga balaa. Afu hata kuvuka barabara mpaka muombe msaada.

Mkuu, mimi nahisi wanaoongoza kwa mizinga ni watu wa Kigoma, wanaoongoza kwa kuvushwa barabara ni watu wa shinyanga. Watu wa mwanza na tabora ni watu wa kuganda. Yaani akiwa mgeni kwako atakaa hata mwaka yupoyupo tu hadi umuulize nyumbani lini ndo ataona aibu kidogo. Halafu huwa hawajali kabisa, hata wakiwa 20 kwenye nyumba/mwenyeji mmoja wao ni poa tu
 
Tatizo na nyie watu wa mikoani mmejenga akili kuwa watu wa dar wana maisha mazuri. Ila mngejua kuwa huku chumba ki1 tunalala watu8, tunatenganisha pazia2. Sasa wewe fikiria ukiongezeka na wewe ntawezaje kukuhudumia?
 
Ungenawa uso kwanza uondoe tongotongo ndo uingie mjini. Mjini shule.

Mi naishi Bunju unanipigia simu tuonane nikupeleke Mbagala.... Utasubiri sana. Someni daladala zimeandikwa ruti kwa mbele.
Tatizo umekulia dar ndio maana hujui pale ubungo panatishaje ukiwa mgeni
 
Hatari...af mkuu kilaza usiwe mchoyo wa like kiasi hicho....Like Ginen 0..!!! kweli??? wakati wewe umepew 1261?

head girl siunajua melo hajatuwekea sehemu ya like sisi wenye vimeo
 
Mkuu, mimi nahisi wanaoongoza kwa mizinga ni watu wa Kigoma, wanaoongoza kwa kuvushwa barabara ni watu wa shinyanga. Watu wa mwanza na tabora ni watu wa kuganda. Yaani akiwa mgeni kwako atakaa hata mwaka yupoyupo tu hadi umuulize nyumbani lini ndo ataona aibu kidogo. Halafu huwa hawajali kabisa, hata wakiwa 20 kwenye nyumba/mwenyeji mmoja wao ni poa tu

Hahahahaaaaa.... mkuu umeua.

Wanaikandya Dar lakini wakija hawaondoki...
 
yalishanikuta sana tu....in short watu wa Dar hawafai!
halafu wakiwa na shida sasa watakusumbuaa. mtu anakuagiza laptop au ipad inakuwa kama deni. kila ukiamka asubuhi unakutana na message yake, ee bwana ile laptop vipi!

kuna huyo mwingine tulipanga naye tuonane ijumaa baada ya kazi sikumsikia hadi jumamosi asubuhi tena hapo anasema anawahi kwenye mkutano sijui kikao cha siku nzima (on a saturday!). baada ya hapo nilim-block kila kona kuanzia calls hadi whatsapp.

na ule msemo wao kila saa yuko kwenye foleni sijui. Mie ndo maana Dar huwa ni transit tu, nafikia hotel then kesho yake naunganisha na Shabiby to mkoa. watu wa Dar nimewanyooshea mikono!
 
Mkuu, mimi nahisi wanaoongoza kwa mizinga ni watu wa Kigoma, wanaoongoza kwa kuvushwa barabara ni watu wa shinyanga. Watu wa mwanza na tabora ni watu wa kuganda. Yaani akiwa mgeni kwako atakaa hata mwaka yupoyupo tu hadi umuulize nyumbani lini ndo ataona aibu kidogo. Halafu huwa hawajali kabisa, hata wakiwa 20 kwenye nyumba/mwenyeji mmoja wao ni poa tu

Mkuu unashtakiwa kwa kuvunja mbavu zangu.
 
Hahaha Pole Kilaza,
Aisee umenichekesha sana.
Nimefurahi sana kwa kuwa Muwazi na kuwa shuhuda.Na kuonyesha kwamba wewe umetoka mkoani kwa nia njema.

Wengi wanaoishi Dar huona kwamba mtu akitoka mkoani yoyote ana shida.Na wengie hufanya sifaa wakiwa Mikoani,sasa anajua kabisa wewe ukiona maisha yake halisi na ukilinganisha namasifa yake basi utamshusha hadhi.

Lakini ukweli ni kwamba Maisha ya Dar na tunavyokuja huko Mikoani yaani haviendani kabisaaa.
Hii ndio Bongo Bakora

Mie nakushauri we mpotezee tu,wengi wanaoishi Dar huwa wanarudi Mikoani wakiwa wagonjwa hasa wa ngoma.

hahahahahahaha mkuu mnakera lakini
 
yalishanikuta sana tu....in short watu wa Dar hawafai!
halafu wakiwa na shida sasa watakusumbuaa. mtu anakuagiza laptop au ipad inakuwa kama deni. kila ukiamka asubuhi unakutana na message yake, ee bwana ile laptop vipi!

kuna huyo mwingine tulipanga naye tuonane ijumaa baada ya kazi sikumsikia hadi jumamosi asubuhi tena hapo anasema anawahi kwenye mkutano sijui kikao cha siku nzima (on a saturday!). baada ya hapo nilim-block kila kona kuanzia calls hadi whatsapp.

na ule msemo wao kila saa yuko kwenye foleni sijui. Mie ndo maana Dar huwa ni transit tu, nafikia hotel then kesho yake naunganisha na Shabiby to mkoa. watu wa Dar nimewanyooshea mikono!

Umeona enh? Kuishi Dar si sawa na kuishi shamba. Kunahitaji akili ya ziada.
 
yalishanikuta sana tu....in short watu wa Dar hawafai!
halafu wakiwa na shida sasa watakusumbuaa. mtu anakuagiza laptop au ipad inakuwa kama deni. kila ukiamka asubuhi unakutana na message yake, ee bwana ile laptop vipi!

kuna huyo mwingine tulipanga naye tuonane ijumaa baada ya kazi sikumsikia hadi jumamosi asubuhi tena hapo anasema anawahi kwenye mkutano sijui kikao cha siku nzima (on a saturday!). baada ya hapo nilim-block kila kona kuanzia calls hadi whatsapp.

na ule msemo wao kila saa yuko kwenye foleni sijui. Mie ndo maana Dar huwa ni transit tu, nafikia hotel then kesho yake naunganisha na Shabiby to mkoa. watu wa Dar nimewanyooshea mikono!

Na wewe yamekukuta watu wa Dar niwashenz.I sana
 
Back
Top Bottom