Watu tunavyo react tunapofuma text za mapenzi kwenye simu za wapenz wetu

Watu tunavyo react tunapofuma text za mapenzi kwenye simu za wapenz wetu

We open up to them way to much..that's why wanapata nafasi ya kutake advantage. Halafu unakuta mwanaume anaefanya huo ujinga..hana kazi,ana mtoto wake wa nje yuko home hapo,anaomba hela ya pombe unampa...akirudi unakuwa ngoma mxiiiiuuuuu
WANAUME NAO NI AJABU LA TISA LA DUNIA!
 
upo muda ukifika kwenye ndoa au mahusiano
NOTHING MATTERS ANYMORE!
nNOTHING,including KUSALITIWA!
iwe kimwili au kimawasiliano!
 
Teh Kwa hiyo niendelee kumganda tu na kumruhusu anichanganye na wanawake wengine coz naogopa ntakuwa na list ndefu? Never. Na honestly nikikutajia list yangu wala hata hutoamini. Me nina misimamo yangu, if you are not happy with me, just quit. Mambo ya kuchanganyana sijui nianze kumwambia mtu kwa nini unamtongoza gal mwingine sinaga, inawezekana bado anautafuta ubavu wake. Ninachojua ni kwamba kuna mume na mchumba wa mtu tu, hakunaga boyfriend wa mtu, so why should I stress myself over a mere boyfriend asiyeniheshimu?. Akiniona me namfaa, atastick na mimi alone, otherwise asepe tu akatafute anachokitaka nje.

I don't lose people, people lose me. And I highly respect a man who respects me when am not around. Mwanaume anakutreat the way utakavyomruhusu akutreat, kwa hiyo mtu akiwa na mimi ni anajua tu kuwa hapa ni adabu kwenda mbele na ataheshimu misimamo yangu. Mtu mnachanganywa watu kibao eti na wewe upo tu kisa unaogopa list ndefu, why uwe abused emotionally? Kesho na kesho kutwa unaanza kujiliza ooh kanipotezea muda wangu, kakupotezea muda wako au umejipotezea muda wako mwenyewe??? Know your worth.
"I don't lose people, people lose me"
Hii ni point muhimu sana hasa ukijua thamani yako maana unaweza kumhurumia hata anayekuacha kama atapata mtu anayejielewa kama wewe. Tatizo wengi hawajui thamani zao au mambo wayafanyayo au hata matendo na mipango yao ya maisha ya baadae ndani ya mahusiano hawaiamini hata wao wenyewe. Unakuta mtu hajielewi hata hajui thamani ya mwenzie yaani anajijua yeye tu mtu huyo hafai bora aende tu. Ukijua thamani yako huwezi kumganda mtu asiyejielewa na kingine kinachowaponza wengine ni utegemezi wa maisha kwa kuangalia mtu huyu anamiliki nn na nikimuacha kweli ntapata mwingine mwenye vitu kama hivi anavyomiliki hii ipo hasa kwa baadhi ya Dada zetu. Ukiwa unajielewa na kujua thamani yako kuwa ni wa muhimu na unaangalia future ya maisha yako hutojali kuachana na watu wasiojielewa kama hao haijalishi ni mzuri wa sura kiasi gani au anamiliki mali kiasi gani. Furaha ya maisha ni amani ya moyo na amani huanzia ndani ya familia.
Kama hawajielewi wacha waende tu utapata tu aliye tamanio la moyo wako mtakayeendana naye maadam tu wewe usiwe chanzo cha matatizo yanayowaachanisha.
 
sijawai na sitoweza kuchunguza simu ya mtu
Unaweza usiwe hata na huo mpango wa kuchunguza ila Mungu akaamua tu kumuumbua anayekusaliti. Anaweza akakupatia mwenyewe mwenye simu kuwa utumie simu yake kwa namna yeyote ile huku yeye akiwa ametiwa kujiamini kuwa mda huo hakuna text itakayoingia ya ajabu kama vile Farao alivyotiwa kiburi ili kuuonesha ukuu wa Mungu. Pengine anaweza tu hata kukupa uangalie hata picha sasa kuna simu zingine mtu anaseti SMS ikiingia inajifungua automatic na mda huo kakupa simu unayo mikononi mwako na sms ikaingia na ikajifungua. Je utafumba macho usiisome kumbuka jicho halina mpaka. Usiseme hivyo acha tu mimi yamenikuta. Kumbuka za mwizi arobain ikifika siku ya kujua mchepuko wa mmeo/mkeo au mpenzi wako hata ungekuwa kwenye handaki yeye yuko bahari utajua tu. Labda sema kuwa hata ukijua hutojali kama una moyo wa kushare lakini kusema hutaki kujua inaweza isiwezekane.
 
Kuna siku nlikua natumia sim yake, kuongea na mkwe. Bahati mbaya ikafungua sent items , nlichokiona nkakaa kimya tu. Maana nlijua nkiuliza ntajua hata mengine ambayo sikuyajua kabla, na wazo la kumuacha sinalo
Dah yataka moyo aisee.
 
ukishaj jua yakua mwanamke ni lazima atongozwe ila kuku Bali ni hiyari yake huwezi pata stres
Tatizo sio kutongozwa tatizo ni pale anapokubali anapotongozwa au kuendelea kufanya majadiliano kama vile hajui jibu la kumwambia anayemtongoza na ilhali anajijua kuwa ni mke au mpenzi wa mtu. Mara ooo nitakupa jibu baadae au niache kwanza na hizo habari zako nk. Huyo hajielewi anza kupata wasiwasi kuwa kama hawajamla basi wako mbioni kumla.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom