Ila kiukweli sijaelewa ulichokiandikaUnakili kama ya wife,, Aliniachisha Ngoma Kali,,Natoka kazini namkuta home anapiga story na wife duuuu aliachisha katoto katamuuu
Yeah uvumilivu lazima coz hata maisha ya u-single kuna vitu lazima uvivumilie tu, but sio kila kitu ni cha kuvumiliwa. Mahusiano yoyote/kitu chochote kinachotaka kuninyima my peace of mind, Au kufanya ni-lose my dignity, hurt my pride or bruise my ego; oops I won't consent that.Heeeee hongera sanaaaa kwa misimamo hyo
We both have that lakn vishida vidogo vdogo tunakomaa navyo hasa pale mnapokua ktk serious relationship
Wanawake wengi tuna ile ' He will change'...hakunaga hiyo kitu. Yaani wewe ukutane nae ukubwani kalelewa hukoo..kashakuwa na mahusiano telee...na friends kibao. Na tabia yake mbovu anakuonesha on and on (umalaya,ulevi,kupiga,kukutukana...nk) hakuna haja ya kustick around. You simply admit I made a mistake,and this is not for me.... You move on!!Heeeee hongera sanaaaa kwa misimamo hyo
We both have that lakn vishida vidogo vdogo tunakomaa navyo hasa pale mnapokua ktk serious relationship
I heart youWanawake wengi tuna ile ' He will change'...hakunaga hiyo kitu. Yaani wewe ukutane nae ukubwani kalelewa hukoo..kashakuwa na mahusiano telee...na friends kibao. Na tabia yake mbovu anakuonesha on and on (umalaya,ulevi,kupiga,kukutukana...nk) hakuna haja ya kustick around. You simply admit I made a mistake,and this is not for me.... You move on!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hebu acha wivuAisee nikikuta msg za mapenzi yani ugomvi wake aiseee ni shidaaaa
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]I heart you
Tunawaruhusu wenyewe kutu-mistreat. They simply go with the flow[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Tupo so soft hearted...ndo maana wanapata chance ya kutu-mistreat.
Sikuhzi wanawake wachache hatu entertain ujinga mambo ya kupigwa nah nah anayevumilia hyo mmh ana moyoWanawake wengi tuna ile ' He will change'...hakunaga hiyo kitu. Yaani wewe ukutane nae ukubwani kalelewa hukoo..kashakuwa na mahusiano telee...na friends kibao. Na tabia yake mbovu anakuonesha on and on (umalaya,ulevi,kupiga,kukutukana...nk) hakuna haja ya kustick around. You simply admit I made a mistake,and this is not for me.... You move on!!
Sasa wivu ukikosekana kuna mapenzi kweli hapo?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hebu acha wivu
Uunataka wako pekeyako...Sasa wivu ukikosekana kuna mapenzi kweli hapo?
Mwisho Wa Huo ufukunyuk ni mbaya saana.....!naifoward kwangu faster
...!!
nachukua namba naanza upelelezi!
sikuulizi kwanza ng'odo!!..
baadae nampigia simu mke mwenza!ya kiupole kabisa!
Uupate ushahidi red handed alafu ukae kimya..... Hapo mwanaume lazima uwe Mdogo....Ukiweza kukaa kimya hiyo ndo adhabu kubwa kuliko ugomvi
Je kama mshafunga ndoa????Teh Yani na huu uzee nisivyotaka stress mwee. Yani siku hizi nikikuta texts hata siongei, kama ni wapenzi tayari basi nawatakia tu kila la kheri, mie najitoa. Kama ndo wanaanza kutongozana nachunguza hadi siku akubaliwe nimkabidhi vizuri kwa huyo new bae wake. Heshima wala upendo haulazimishwi, nenda tu kwa huyo unayempenda.
Mwanamke akikaa kimya....inauma saana. Hakyanan unaacha michepuko yotee... Ila akisema sema tuu Mara nyingi mwanaume unabadili trickWangu mstaraabu hanaga Tabia kukagua simu yangu sasa kuna simu akishika kwa bahati mbaya kuna msg ya kamchepuko iliingia kakiniambia kana hamu ya dudu akaisoma akakausha loh! Nikagundua nikakapiga chini fasta mpaka Leo haujaniambia lolote na miez mitatu imepita sijui anawaza nin
Duh.....Teh Kwa hiyo niendelee kumganda tu na kumruhusu anichanganye na wanawake wengine coz naogopa ntakuwa na list ndefu? Never. Na honestly nikikutajia list yangu wala hata hutoamini. Me nina misimamo yangu, if you are not happy with me, just quit. Mambo ya kuchanganyana sijui nianze kumwambia mtu kwa nini unamtongoza gal mwingine sinaga, inawezekana bado anautafuta ubavu wake. Ninachojua ni kwamba kuna mume na mchumba wa mtu tu, hakunaga boyfriend wa mtu, so why should I stress myself over a mere boyfriend asiyeniheshimu?. Akiniona me namfaa, atastick na mimi alone, otherwise asepe tu akatafute anachokitaka nje.
I don't lose people, people lose me. And I highly respect a man who respects me when am not around. Mwanaume anakutreat the way utakavyomruhusu akutreat, kwa hiyo mtu akiwa na mimi ni anajua tu kuwa hapa ni adabu kwenda mbele na ataheshimu misimamo yangu. Mtu mnachanganywa watu kibao eti na wewe upo tu kisa unaogopa list ndefu, why uwe abused emotionally? Kesho na kesho kutwa unaanza kujiliza ooh kanipotezea muda wangu, kakupotezea muda wako au umejipotezea muda wako mwenyewe??? Know your worth.
Sasa kama hawanitaki ntawaganda? Maana sio kwamba me ndo nawaacha, wao ndo wananiacha muda wanaoenda kutafuta girls wengine. Ukiona una mtu afu yupo busy na wanawake wengine, ni simply kwamba hajali mahusiano yenu wala haogopi kuachana na wewe. Ya ndoani subiri niingie ndoani kwanza, afu boyfriend na mume ni vitu viwili tofauti.Je kama mshafunga ndoa????
For that case utaacha wangapi?
Huo mguno vepeeDuh.....