Watu tunavyo react tunapofuma text za mapenzi kwenye simu za wapenz wetu

Watu tunavyo react tunapofuma text za mapenzi kwenye simu za wapenz wetu

Kwan wewe hua unafanyaje kwan nianze na wewe....
Af tabia ya kupekua simu sio nzur ukija kumkuta Salome wa mumeo
 
''Mapenzi ya sikuizi ni ruksa kushikana lakini sio kushikiana simu''
 
Yaan mm hapo hapo naanzisha timbwilitimbwil ya asha ngedere
 
Teh Yani na huu uzee nisivyotaka stress mwee. Yani siku hizi nikikuta texts hata siongei, kama ni wapenzi tayari basi nawatakia tu kila la kheri, mie najitoa. Kama ndo wanaanza kutongozana nachunguza hadi siku akubaliwe nimkabidhi vizuri kwa huyo new bae wake. Heshima wala upendo haulazimishwi, nenda tu kwa huyo unayempenda.
 
Wangu mstaraabu hanaga Tabia kukagua simu yangu sasa kuna simu akishika kwa bahati mbaya kuna msg ya kamchepuko iliingia kakiniambia kana hamu ya dudu akaisoma akakausha loh! Nikagundua nikakapiga chini fasta mpaka Leo haujaniambia lolote na miez mitatu imepita sijui anawaza nin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom