tya02
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 850
- 1,064
hivi wenzangu huwa mna react vp mnapofuma text za mapenzi kwenye simu za wapenzi wenu,maana wengine tunalia na kununa,wengine ni kipigo kwa kwenda mbele,wengine nikutukanana mpaka mkimaliza hpo msamaha umeshatolewa
Tuone experience zenu tupunguze stress kwa kucheka hapa jukwaan leo
Tuone experience zenu tupunguze stress kwa kucheka hapa jukwaan leo