Watu tunavyo react tunapofuma text za mapenzi kwenye simu za wapenz wetu

Watu tunavyo react tunapofuma text za mapenzi kwenye simu za wapenz wetu

Sikuhzi wanawake wachache hatu entertain ujinga mambo ya kupigwa nah nah anayevumilia hyo mmh ana moyo
Wapo wanaovumilia tena...hata kuhadithia mtu wa karibu hahadithii,siku yakimfika ya kuvunjwa mkono au kutenguliwa mguu ndo anasema tena ukute kabanwaa balaa...au ndo anatukanwa anaitwa majina telee,lakini yumo tu..whyyy?? Akikaa peke yake pembeni,machozi tele
 
Tunawaruhusu wenyewe kutu-mistreat. They simply go with the flow
We open up to them way to much..that's why wanapata nafasi ya kutake advantage. Halafu unakuta mwanaume anaefanya huo ujinga..hana kazi,ana mtoto wake wa nje yuko home hapo,anaomba hela ya pombe unampa...akirudi unakuwa ngoma mxiiiiuuuuu
 
Ukimchunguza kuku sjui bata vile humli. . .
Kaa na simu yako na yeye abaki na yake
Stress zingine za kujitakia
Sawa ila ndo imetokea umeona sasa, unakuwaje? Mtoa mada anataka utushirikishe uzoefu wako...
 
Uupate ushahidi red handed alafu ukae kimya..... Hapo mwanaume lazima uwe Mdogo....

Ila mkijifanya kuongea Baaas....
Ukipiga makelele unarahisisha kesi, ukinyamaza there are two things involved.... Lol
 
Teh Yani na huu uzee nisivyotaka stress mwee. Yani siku hizi nikikuta texts hata siongei, kama ni wapenzi tayari basi nawatakia tu kila la kheri, mie najitoa. Kama ndo wanaanza kutongozana nachunguza hadi siku akubaliwe nimkabidhi vizuri kwa huyo new bae wake. Heshima wala upendo haulazimishwi, nenda tu kwa huyo unayempenda.
bila shaka wewe ni kibonge, vibonge havinaga sauti, chochote kwao sawa tu.
 
Mi nakausha tu kimyaaaaa japo naumia ndani kwa ndani, niona hali inaendelea namueleza mpenzi wangu kwamba tabia anayo endelea nayo na mtu fulani sio nzuri na nimejua, basi hivyo tu
 
unamuuliza kiupole, "mamsapu unachepuka kisa nakuumiza wakati wa tendo?" [emoji17] [emoji17]
 
We open up to them way to much..that's why wanapata nafasi ya kutake advantage. Halafu unakuta mwanaume anaefanya huo ujinga..hana kazi,ana mtoto wake wa nje yuko home hapo,anaomba hela ya pombe unampa...akirudi unakuwa ngoma mxiiiiuuuuu
Hahaha kazi kweli kweli
 
Wapo wanaovumilia tena...hata kuhadithia mtu wa karibu hahadithii,siku yakimfika ya kuvunjwa mkono au kutenguliwa mguu ndo anasema tena ukute kabanwaa balaa...au ndo anatukanwa anaitwa majina telee,lakini yumo tu..whyyy?? Akikaa peke yake pembeni,machozi tele
M mwanamke ambaye anavumilia hvyo namuonea huruma sana ila kuna msemo unasema vile unavyomzoesha mwaname toka siku y kwanza ndio hvyo hvyo atakavyoish na wewe mpk mtakapotengana
Mf mwanaume amezoea kukupiga na weweu take t easy kila siku utaambulia kipigo mpak nyonga itenguliwe
 
Sasa kama hawanitaki ntawaganda? Maana sio kwamba me ndo nawaacha, wao ndo wananiacha muda wanaoenda kutafuta girls wengine. Ukiona una mtu afu yupo busy na wanawake wengine, ni simply kwamba hajali mahusiano yenu wala haogopi kuachana na wewe. Ya ndoani subiri niingie ndoani kwanza, afu boyfriend na mume ni vitu viwili tofauti.

I'm surprised kumbe watu bado mnaogopa sana list, that's why mnang'ang'ania mahusiano mabovu, aisee niliogopaga enzi hizo ndo naanza mahusiano . Siwezi nikang'ang'ania mahusiano yasiyonipa furaha aisee, alhadumlillah list bado inaridhisha tu pamoja na yote teh. Cha kuogopa sio list, ila jiulize je unafanya right choices?

Huo mguno vepee
Nakuelewa zaidi ya kukuelewa... A vile vile kukibali msimamo wako...
Ila heaven uwe unasamehe Basi minor cases....maaana kuna some cases za msg unatakiwa udeal nazo tuu.... Kuna kupitiwa...kuna vijimazoea vya ajabu ajabu...hayo hayahitaji ukimbie
 
Nakuelewa zaidi ya kukuelewa... A vile vile kukibali msimamo wako...
Ila heaven uwe unasamehe Basi minor cases....maaana kuna some cases za msg unatakiwa udeal nazo tuu.... Kuna kupitiwa...kuna vijimazoea vya ajabu ajabu...hayo hayahitaji ukimbie
Aaah ndo maana nikasema nasubiri niconfirm kwanza kama wana mahusiano, sio tu kitext kisicho na evidence . Na ikitokea nimekuuliza kitu kuwa tu honest yaishe, usinidanganye coz siulizagi kitu nisichokuwa na uhakika nacho. I'm a very forgiving person na ni mvumilivu haswaaa kwenye mambo ya msingi, akipitia/tukipitia magumu ndo mtu atanielewa vizuri. Ili udwanzi wa michepuko aiseee mweee
 
Yaani leo Mi mpenzi wangu alikuwa amekuja home kwangu bahati mbaya au njema tukabadilishana simu kucheki picha za watsap. Nikachukua simu yake naye akachukua simu yangu bila hofu yoyote. Sikukuwa na lengo la kuchunguza simu yake na huwa sina tabia hiyo ila leo yeye ndio alianza kuleta hoja ya kubadilishana simu basi nikaona poa tu maana sikuona tatizo. Kila mmoja akawa anaangalia picha kwenye simu ya mwenzie kwa uhuru bahati nzuri au mbaya tulikuwa tumekaa opposite. Nikiwa naendelea kuangalia picha ghafla ikaingia SMS kwenye simu ya mpenzi wangu na simu yake ameiseti ikiingia SMS inajifungua yenyewe automatic, hiyo SMS ilikuwa ya jamaa na inaonesha wanauhusiano naye au basi kama hawajaanzisha uhusiano kwa sasa basi jamaa ameshamtongoza na huyu demu amempa jamaa majibu ya kumtumainisha. Basi niipoiona ile SMS kidogo nilishituka ila nikajikaza nikaisoma then nikaifunga na nikaendelea kuperuzi picha kama vile sijaona kitu ila kidogo nilipunguza uso wa furaha kwake japo yeye hakugundua. Basi nilipoona vile nikawa natafakari na kumshukuru Mungu kwa kunionesha SMS hiyo. Baadae nikaendelea na story naye nikawa kama nimepotezea na nikamrudishia simu yake huku nikiwaza nin cha kufanya baada ya mda kupita nikawaza kuwa niichukue namba iliyotuma hiyo SMS basi nikampa simu yangu anipige picha naye nikachukua ya kwake ili nimpige picha basi nikatumia tena nafasi hiyo kuchukua namba hiyo. Hapa saivi namvutia pozi nataka kwanza nimdadisi jamaa kwa namna nijuavyo juu ya uhusiano wake na huyu demu kabla sijachukua maamuzi magumu. Nikimwanzia demu kumuuliza najua atakana na sitapata habari ya ukweli nataka nipate kwanza ABC kabla sijaja kwake. Na jamaa akinipa detail zitakazoonesha kuwa wanauhusiano naye basi ndio mwanzo wa kuanzisha ukurasa mpya maana hata Mie sikumkuta bikra japo nilikuwa namuwazia kuwa mtu wa kudumu naye. Ngoja saivi nifanye upelelezi nikikamilisha na ikathibitika kuwa ananisaliti basi hatua stahiki itabidi zichukuliwe haijalishi. Nilikuwa sijawahi kuona au kushuhudia dalili za usaliti zaidi ya kuhisi tu. Ila namshukuru Mungu kwa uvumilivu alionijalia japokuwa nikiamua kitu huwa sibadilishi hasa nikimchukia mtu.
 
Wanawake wengi tuna ile ' He will change'...hakunaga hiyo kitu. Yaani wewe ukutane nae ukubwani kalelewa hukoo..kashakuwa na mahusiano telee...na friends kibao. Na tabia yake mbovu anakuonesha on and on (umalaya,ulevi,kupiga,kukutukana...nk) hakuna haja ya kustick around. You simply admit I made a mistake,and this is not for me.... You move on!!
Exactly.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom