DuhTeh Yani na huu uzee nisivyotaka stress mwee. Yani siku hizi nikikuta texts hata siongei, kama ni wapenzi tayari basi nawatakia tu kila la kheri, mie najitoa. Kama ndo wanaanza kutongozana nachunguza hadi siku akubaliwe nimkabidhi vizuri kwa huyo new bae wake. Heshima wala upendo haulazimishwi, nenda tu kwa huyo unayempenda.
Mbona umeguna teh
Au 'Karma is a B***'....au ataandika tu 'Ooh..God please,I need you right now' HahahhhahahaHahaha na wanawake ndio zetu hzo hahaha
Au utasikia what goes arround comes around
Pole mwaya,na wewe kuna siku utampata wa kwako ufurahie morning glory deile kama akina Honey faith!wenye wapenzi wao waongee
Ulishawahi kuzikuta au unahisi itatokea hivyo best?Aisee nikikuta msg za mapenzi yani ugomvi wake aiseee ni shidaaaa
Umeshawahi kupata stds?Ukimchunguza kuku sjui bata vile humli. . .
Kaa na simu yako na yeye abaki na yake
Stress zingine za kujitakia
Unakili kama ya wife,, Aliniachisha Ngoma Kali,,Natoka kazini namkuta home anapiga story na wife duuuu aliachisha katoto katamuuuAisee sina moyo kabisa kama wako mie naanzisha msala mda huo huo hata sisubiri uchunguzi
Teh Kwa hiyo niendelee kumganda tu na kumruhusu anichanganye na wanawake wengine coz naogopa ntakuwa na list ndefu? Never. Na honestly nikikutajia list yangu wala hata hutoamini. Me nina misimamo yangu, if you are not happy with me, just quit. Mambo ya kuchanganyana sijui nianze kumwambia mtu kwa nini unamtongoza gal mwingine sinaga, inawezekana bado anautafuta ubavu wake. Ninachojua ni kwamba kuna mume na mchumba wa mtu tu, hakunaga boyfriend wa mtu, so why should I stress myself over a mere boyfriend asiyeniheshimu?. Akiniona me namfaa, atastick na mimi alone, otherwise asepe tu akatafute anachokitaka nje.Nimewaza haoa utakavyokua unabadilisha kama nguo maana hakuna aliyekamilika
Kama ukimfuma unampa go ahead na wew unajikata siutakua nao mia shostisto[emoji50][emoji50]
Heeeee hongera sanaaaa kwa misimamo hyoTeh Kwa hiyo niendelee kumganda tu na kumruhusu anichanganye na wanawake wengine coz naogopa ntakuwa na list ndefu? Never. Na honestly nikikutajia list yangu wala hata hutoamini. Me nina misimamo yangu, if you are not happy with me, just quit. Mambo ya kuchanganyana sijui nianze kumwambia mtu kwa nini unamtongoza gal mwingine sinaga, inawezekana bado anautafuta ubavu wake. Ninachojua ni kwamba kuna mume na mchumba wa mtu tu, hakunaga boyfriend wa mtu, so why should I stress myself over a mere boyfriend asiyeniheshimu?. Akiniona me namfaa, atastick na mimi alone, otherwise asepe tu akatafute anachokitaka nje.
I don't lose people, people lose me. And I highly respect a man who respects me when am not around. Mwanaume anakutreat the way utakavyomruhusu akutreat, kwa hiyo mtu akiwa na mimi ni anajua tu kuwa hapa ni adabu kwenda mbele na ataheshimu misimamo yangu. Mtu mnachanganywa watu kibao eti na wewe upo tu kisa unaogopa list ndefu, why uwe abused emotionally? Kesho na kesho kutwa unaanza kujiliza ooh kanipotezea muda wangu, kakupotezea muda wako au umejipotezea muda wako mwenyewe??? Know your worth.