Watu ndani ya Mlimani city Mall

Watu ndani ya Mlimani city Mall

Kuna jambo nimekuwa nikiliobserve kila nikiwa nafanya manunuzi yangu pale Mlimani City..Idadi kubwa ya watu ninaopishana nao wengi utawasikia wakiongea kuhusu kuishi nje ya nchi,kuhusu kuondoka nchini siku sio nyingi,kuhusu kwenda China,India kufunga mzigo wa biashara na mengine mengi..

Najua inaweza kuwa kitu cha kawaida..na always tunashauriwa kumind our own bussiness lakini kwa hili limenifikirisha kidogo..

Hivi wakuu watu wengi wanaokuwa Mlimani City ni kwamba wana class au aina hiyo ya maisha au inakuwaje??..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli,,,, hata mi kesho naenda Uturuki kufunga kontena la vifaa vya ujenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Bongo Kuna Kasumba Fulani Hivi Ya Ushamba! Nchi Zilizoendelea Huko Ambapo Ndio Waasisi Wa Vitu Kama Hivyo Kwao Kawaida.
 
ndo maana unaambiwa kuishi dar tu tayari ni elimu ya form four!

hadi kuingia mlimani city kununua bidhaa mule lazima uwe unaconfidence kwanza ya juu!

watu wanapanda magari temeke wanenda nunua ICE CREAM mlimani city!

mlimani city kama ulikuwa hujui chumba kidogo kabisa cha biashara kwa mwezi Mil 14!
Whaaaat?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi wa Mkoani ngoja nitokepo Ushamba angalau kwa maandishi maana huwa nakusikia tu huko Mlimani City
 
Umesahau na kuongea ung'eng'e.

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh..mimi nimeishi europe miaka 5, huwa nawachora tu wanavyojifaragua na huo ung'eng'e wao wa kubana pua na kujidai lifestyle ya kitasha, ukute wengi hawajawahi hata kukanyaga majuu. Huwa najidai kana kwamba ni mtu wa mkoa tu wao ndo wajanja, ha,ha,ha...
 
Tatizo Bongo Kuna Kasumba Fulani Hivi Ya Ushamba! Nchi Zilizoendelea Huko Ambapo Ndio Waasisi Wa Vitu Kama Hivyo Kwao Kawaida.
Hata ushamba una muda wake wa kwisha kama ulitoka Namabengo jana huwezi kuendelea kuwa mshamba wakati ndio ushahamia mjini unaanza kujifunza jambo moja baada ya jingine, ila wapo pia waliozaliwa mjini wamekulia mjini lakini bada washamba sana kuliko hao waliotoka kijijini jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh..mimi nimeishi europe miaka 5, huwa nawachora tu wanavyojifaragua na huo ung'eng'e wao wa kubana pua na kujidai lifestyle ya kitasha, ukute wengi hawajawahi hata kukanyaga majuu. Huwa najidai kana kwamba ni mtu wa mkoa tu wao ndo wajanja, ha,ha,ha...
Unajuaje kama hawajawahi kukanyaga huko majuu?
 
Back
Top Bottom