Watu makini kama mbunge wa Kawe Josephat Gwajima wamekaa kimya juu ya uharamu unaotendwa na serikali kwa wananchi. Hii maana yake nini?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,709
36,166
Je, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa?

Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi.

Inatia ukakasi sana.
 
Nafikiri sa hivi imebaki kila mmoja apambane na Hali yake.
 
Je, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa?
Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi.
Inatia ukakasi sana.
Umakini uliompa Gwajima unatokana na nini? Namuona hana huo Umakini uliompatia.
 
Je, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa?
Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi.
Inatia ukakasi sana.
gwajima unamuita mbunge makini? kama unaweka hopes kwa mbunge kama huyo.. you are so so wrong
 
Je, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa?
Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi.
Inatia ukakasi sana.
KASHIRIKI KUUPITISHA HUO UHARAMIA ULITAKA ASEME NINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…