Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

1742935709050.jpeg

32yrs😃
 
Leo tuwataje watu maarufu hapa bongo ambao ni kama wamegoma kuzeeka. Yaani wapo vilevile miaka nenda miaka rudi.

Naanza na Blandina Changula maarufu kama Johari.
Huyu tangu tukiwa wadogo yupo hivyohivyo mpaka leo yupo hivyo hivyo.

Tuendelee na list…
Wazee hapa unaongele wenye miaka mingapi?

Jenerari Ulimwengu au Lulu Kanumba?

Prof Tibaijuka au Mwigulu Nchemba?

Prof Kabudi au Wakili Msomi Kibatala?
 
Leo tuwataje watu maarufu hapa bongo ambao ni kama wamegoma kuzeeka. Yaani wapo vilevile miaka nenda miaka rudi.

Naanza na Blandina Changula maarufu kama Johari.
Huyu tangu tukiwa wadogo yupo hivyohivyo mpaka leo yupo hivyo hivyo.

Tuendelee na list…
Walimu wangu wa shule ya msingi. Yaani kila ninapoonana nao, nawaona wapo vile vile tu..!!
 
Back
Top Bottom