Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

GenZ recently nimeona mnawa mock sana age as if nyie mtakuwa vijana forever tena na mivisungura hii mnayobwia mixer kula vichips mtazeeka mapema na vibaaya nyinyi nawahurumia.
Ukishagonga 30 we mzee tayari Anza kuweka pension yako haraka
+Bleach,,Creams Na Supablack+Bangi Na Fegi+Ngono+Gono and Other STD,s,,Subiri Balaa Lake
 
Hauwezi ukamtaja mtu mwenye miaka 30s au 40s au 50s kuwa amegoma kuzeeka .

Umri ambao mtu akiwa nao na akawa amegoma kuzeeka ni kuanzia 60s

Mfano Koffi Olomide ndo mtu ambaye unaweza kusema amegoma kuzeeka .

Mfano mtu ametoboa 60s hatumii miwani kusoma

Meno Anayo mdomoni
Akili inafanya Kazi vizuri.
Hana magonjwa ya kumlaza ndani n.k

So hapa waliogoma kuzeeka ni hawa

Lemutuz (RIP)
Koffi olomide.
 
Back
Top Bottom