Japo imekaa kama kejeli lakini huu ndo ukweli miaka 20 ijayo kimuonekano uzee utaanzia miaka 30 sababu ya life styleGenZ recently nimeona mnawa mock sana age as if nyie mtakuwa vijana forever tena na mivisungura hii mnayobwia mixer kula vichips mtazeeka mapema na vibaaya nyinyi nawahurumia.
Ukishagonga 30 we mzee tayari Anza kuweka pension yako haraka
Gen Z wanawa mock sana age go as if wao hawatazeeka. Ila kwa lifestyle yao miaka kumi mingi.Japo imekaa kama kejeli lakini huu ndo ukweli miaka 20 ijayo kimuonekano uzee utaanzia miaka 30 sababu ya life style
Umeona eeee.One and only.
We unikome.Umri wa Dully na uhakika hampishani sana,

Hahahaha, mwaka gani huo? Dully mwenyewe kaanza kuimba Yuko shuleWe unikome.
Kipindi Dully anaimba mie ndio kwanza niko form 1 Forodhani.
Iweje tuwe umri sawa?
Mie bado mdogo.
Usinizeeshe![]()
Mbona umenishupalia?Hahahaha, mwaka gani huo? Dully mwenyewe kaanza kuimba Yuko shule
Kama ulicheza Disco ,Bills ,Tazara,Sleep way,Hard Rocks,wewe utakua ushaingia uzee, Mambo vp lkn , LEO TENA TUPO HAPAUmeona eeee.
Nimehudhuria show zake pale Club Bilicanas, leo hii mimi naonekana mzee.
Hahahaha, 😂 🤣 😂 🤣Mbona umenishupalia?
Mzee mwenyewe...mie bado binti.
Enzi za Dar Group,Kama ulicheza Disco ,Bills ,Tazara,Sleep way,Hard Rocks,wewe utakua ushaingia uzee, Mambo vp lkn , LEO TENA TUPO HAPA
Mtoto wa kiume unafungaje Pm?Hahahaha, 😂 🤣 😂 🤣
Hahahaha, sijafunga BestMtoto wa kiume unafungaje Pm?
Tupia picha yako hapa Binti aone Aibu mwenyeweMbona umenishupalia?
Mzee mwenyewe...mie bado binti.
Hahahaha, Tazara ilikua balaa bana au NjenjeEnzi za Dar Group,
Tazara Club nimeingia enzi niko darasa la 4.
Kwenda huko
Hahahaha,mie na huyo tunajuana vzr sana Tena sana na zaidi ya sanaTupia picha yako hapa Binti aone Aibu mwenyewe
Wewe ndio umefunga PM halafu nakutafutia sana tuyajengeMtoto wa kiume unafungaje Pm?
Mizengo Pinda ni kijana tuLeo tuwataje watu maarufu hapa bongo ambao ni kama wamegoma kuzeeka. Yaani wapo vilevile miaka nenda miaka rudi.
Naanza na Blandina Changula maarufu kama Johari.
Huyu tangu tukiwa wadogo yupo hivyohivyo mpaka leo yupo hivyo hivyo.
Tuendelee na list…