BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
TRA nilitoka 2010 nikajiunga na BoT. Unadhani ni long sana kamaunavyotaka kuaminisha watu hapa? Sema tu watu wakiitwa kwenye interviewswakapiga zile Aptitude Tests na kuchemsha wanaanza mbwembwe, mara "ooh, paleBoT/TRA huwezi kupata kama wewe siyo mtotowa kigogo au labda una ki-memo kutoka kwa kigogo". Aaaah wapi?! Mi sikuwa naki-memo na wala simjui mtu yeyote. Mi ni mtoto wa mkulima wa kawaida kabisa.Ndio maana nikamuuliza mleta uzi, hao anaowasema ni asilimia ngapi ya wafanyakaziwote wa Benki Kuu? Au mnadhani hao mliowataja ndio watoto pekee wa vigogo wotemnaowajua nchi hii? Porojo zingine zinafaa kupelekwa kwenye vijiwe vya kahawana wala siyo hapa kwa Great Thinkers!
Hapo kwenye red ni kama umejichanganya.
Kama wanaqualify na wanamudu kazi zao na walishindanishwa sioni ubaya BUT kama ni upendeleo shame on them.
,kweli ndugu yangu ester karamagi.vipi bado uko colombia university?wewe nafasi yako ni ile aliyokuwa nayo january makamba,katibu wa rais.hongereni,unasubiriwa kwa hamuKama wana-Qualify wacha wapige kazi kwani hamjui kazi za siku hizi si za umesoma nini ila ni unamjua nani?
Na hii ipo hata kwenye mashirika binafsi na hata wewe ukipata nafasi utafanya vivyo vivyo.
Shida hapa tunalalama sababu hatuna nafasi.PERIOD.
umesahau na ile kesiya watoto wa vigogo waliofoji vyeti na kuajiliwa bot mmoja wao nimtoto wa mungai haiingii akilini mtoto wa kiongozi aliepata kuwa waziri wa elimu anafoji vyeti na mpaka sasa hii kesi wameizima kimya kimyaOna nchi yetu ilivyo
FILBART SUMAYE, PAMELA LOWASA, ZARIA KAWAWA,HERIETH LUMBANGA, SALAMA MWINYI,RECHAL MUGANDA, SALMA MAHITA,JUSTINA MUNGAI, KENETH NCHIMBI, BLASIA W. MKAPA, VAOLETH LUHANJO, LIKU KATE KAMBA, THOMAS MONGELA NA JABIRI KIGODA.
HIYO NI TIMU YA WATOTO WA VIGOGO WALIOAJIRIWA BOT BADO KATIKA BALOZI ZETU NJE YA NCHI.NCHI YETU INAFISADIWA NANI WA KUTUOKOA WENGI WAO WAMEGHUSHI ELIMU ZAO
HII MESEJI IMEZAGAA MITAANI KWA SANA SASA SIJUI KWAMBA NI KUJIVUNIA VIONGOZI WETU KUTUONYESHA KUWA ELIMU NI MSINGI WA MAISHA KWA KUWAPA WATOTO WAO ELIMU BORA AU
NI WANANCHI KUONA HUKO NI KUPENDELEANA KATIKA AJIRA ZENYE MASLAHI MAZURI AU
NI WIVU WA WATANZANIA TU?
Sio tu BOT, kuanzia kwenye scholership, Kwenye chama, mawizarani na idara zote nyeti za serikali.Ndio maana mambo mengi sana nchi hii hayaendagi sawa kwenye idara na taasisi zote za serikali.Haiwezekani iwe ni coinsidence kulundikana watoto wa wakubwa pamoja.Sijui wananchi watalalamika kwa nani, manake hata hao wakuwalalamikia ndio walewale...
Hata kama waliqualify bado yapo mashaka kwamba ulikuwepo upendeleo wa dhahiri. Hakika nchi hii ina wenyewe. Ningekuwa rais ningeoverhaul mfumo mzima na kuweka timu mpya.Kama Waliqualify sawa ...kama walingia Kwa Memo ...that's Problem
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mtaishia kulalama tu!!!!hapo ndio mwisho wako wa kufikiri.
Ninacho jiuliza na sipati majibu mpaka sasa ni hiki, kama imetokea coincidence BOT ikaajiri watoto 14 wa vigogo je, coincidence hiyohiyo inaweza kutokea kwenye wizara ya elimu watoto wenye majina kama hayohayo wakapangwa kwenda kufundisha shule za kata vijijini ambako hakuna maji wala umeme na wakaendelea kuifanya kazi hiyo kwa moyo wa kizalendo bila kujalisha kuwa mishahara imechelewa na hawaja pandishwa vyeo na wakati huohuo wakiidai serikali sikivu malikimbizo?!
Hivi kweli binadamu wote ni sawa kwa maana ya fursa za ajira bila kuangaliana usoni?! Hasa BOT?
"Halafu ni wanoko ile mbaya".....pamoja na exposure walizo nazo .....wao bado wanaendeleza zile business as usual ili kulinda maslahi ya wazazi wao.......lol
Chuo cha Taifa cha Uongozi! Kuna matatizo makubwa sana! Haujaona mambo yalivyo?
Comment ni muhimu kwetu!
uzuri au ubaya wa vita ya wenyewe kwa wenyewe ni kwamba hao wanaobebwa hawata dhurika hata kidogo kwani watakuwa wakwanza kupanda ndege! Nyie mnaopiga makelele na kuombea vita ndio mtakao chinjana mwanzo mwisho!