Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,587
- 7,969
Na cha kusikitisha huyo mtoto wa Mungai wala hajasoma. Watoto wengi wa vigogo ni mambumbumbu wamewekwa pale kujaza namba tu na kula hela za wauza madafu. Tunahitaji mabadiliko haraka sana.