Ha ha ha ha mbona wewe upo hapa kwenye kasimu kako ka NokiaIla majungu na fitina ni dhambi mkuu. Wenzako wapo kazini wanatafuta ugali wa jioni wewe upo nyuma ya keynboard ya simu ya techno unaleta majungu. Fanya kazi kijana achana na siasa uchwara.
Nipo hapa kama great thinker na sio mkali majungu na mchumia tumbo kama wewe.Ha ha ha ha mbona wewe upo hapa kwenye kasimu kako ka Nokia
Ukijiita hivyo newton ajiitajeNipo hapa kama great thinker na sio mkali majungu na mchumia tumbo kama wewe.
Sibishani na mtu mwenye hoja mfu. Wewe sio saizi yangu nenda kawaite kaka zeko wakusaidie kama kina lizaboni,jingalao,wakudadavua,Ritz et al.Ukijiita hivyo newton ajiitaje
Acha mashauzi
Mimi naonaga wanaoishabikia ccm ni wapumbafuIla kiukweli,, wakati mwingine huwa nahisi watu wanaoishabikia UKAWA ni kama wajinga wajinga fulani hivi!
Mtawala wa forum hii na wote kwa ujumla napenda kuwapa mada hii iwe kama ni ushahidi mojawapo wa sakata la BoT. Hili suala la watoto wa vigogo kuajiriwa Bot si la uongo kwani
1. Rogers Sumaye alipata ajira hata kabla hajamaliza shule Uk kwani kuna watu walianza kufanya interview za kumsindikiza.
2. Kigoda naye the same
3. Lowasa's the same
4. And many others who have brothers there or relatives
Ishu hapa sio kuwa na sifa za kufanya kazi Bot bali je walipitia usahili na taratibu za ajira serikalini?
Je, ni watu wangapi wenye sifa walifanya interview na kushinda na bado wakapigwa chini?
Inasikitisha kuona kuwa hata Gavana mpya anatetea maovu akiwa ofisini hata mwezi haujaisha ni SHIDA hii
May 30, 2008:
=======
Baadae: Watoto wa vigogo BoT wasafishwa
=======
Oktoba 07, 2012
Jamani