ona nchi yetu ilivyo
filbart sumaye, pamela lowasa, zaria kawawa,herieth lumbanga, salama mwinyi,rechal muganda, salma mahita,justina mungai, keneth nchimbi, blasia w. Mkapa, vaoleth luhanjo, liku kate kamba, thomas mongela na jabiri kigoda.
Hiyo ni timu ya watoto wa vigogo walioajiriwa bot bado katika balozi zetu nje ya nchi.nchi yetu inafisadiwa nani wa kutuokoa wengi wao wameghushi elimu zao
hii meseji imezagaa mitaani kwa sana sasa sijui kwamba ni kujivunia viongozi wetu kutuonyesha kuwa elimu ni msingi wa maisha kwa kuwapa watoto wao elimu bora au
ni wananchi kuona huko ni kupendeleana katika ajira zenye maslahi mazuri au
ni wivu wa watanzania tu?