Young Tanzanian
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,736
- 293
Kawaida pambana na wewe uingie kwenye system
We gamba umeona ndo kigezo cha maana ? Wacha kudharau wa Tanzania wewe
Kumbe mpaka usome Ulaya au America ndo upate ajira kwenye EPA?
Haha Pole sana usilolijua ni usiku wa Giza.
Wengi wameingia hapo na Elimu ya Form 4, Na wakiwa hapo wakapata course za nje na kuungaunga kusoma nje ndio maana leo ukiwakagua unaweza kukuta wengine wana zile Degree na Masterz za kina nchimbi(Feki).
Refer viky kamata alisoma Masterz 2008 akiwa BOT ambapo aliajiriwa akiwa na Certificate na sasa ana masterz na aijulikani alisoma DegrEe wapi.
www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/290803-mh-vicky-kamata-cv-[-mungu-tuokoe].html
ccm imefanya nini hapa mkuu??tatizo sio watoto wa wakulima kwamba hawajasoma bali tatizo ni ccm
amina Allah akufanyie wepesi katika hili
We gamba umeona ndo kigezo cha maana ? Wacha kudharau wa Tanzania wewe
Ni miongoni mwa walengwa
Umbea mbaya sana hasa ukiwa unafanywa na wanaume!
Ndugu yangu siku zote anayefanyia kazi hotelini analia hotelini. wewe angalia utakataje huo mduala wa umasikini na sio kuangalia watoto wa mawaziri wanafanyaje. ushawahi kuona tangazo la ajira BOT??Benk hii imekuwa sio ya watoto wa wakulima.Lazima huwa mtoto wa kigogo.
Iweje watoto wa:
3 former Prime Ministers-Kawawa,Lowassa na Sumaye wawe pale?
2 former Presidents -Mkapa ,Mwinyi?
Buku7 watasema eti walisoma shule nzuri???Oxford,Havard?