Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

Kama mshua wangu angejiweka kwenye siasa mapema, huenda na mimi ningekuwa nakula bata pale BOT kama jinsi ambavyo watoto hawa wa vigogo wanavyopeta.
Samahani lakini, nasikiasikia eti hawa wote wanafanya kazi BOT na walipigiwa mapande na washua wao walioujua mchezo huu wa siasa mapema, wakuu kama nimekosea anayejua atanirekebisha kwa sababu najijua uelewa wangu ni mdogo.

ORODHA YA WATOTO WA VIGOGO WANAOFANYA KAZI BOT

Filbert Sumaye, Beatrice Bomani, Pamela Lowassa, Zacharia Kawawa, Salama Mwinyi, Salama Mahita, Rachel Msekwa, Jane Sitta, Yasmine Karume, Rabia Shein, Joshua Nchimbi, Gracia Mkapa, Jane Diallo, Likel Ngasongwa, Andy Magufuli, Thomas Mongela, Jubilee Kigoda, Raymond Zanga, Ismail Meghji, Morris Mramba et al.
Nawasilisha!

Ulitaka wakfanye kazi wapi? Chapa kazi dogo Mungu atakuinua..........kwani hao wazazi wao hawakuwahi kuwa watoto wa vigogo, Mkate wako upo tu pambana.........!
 
Hii list ni mpya au ile ile ya zamani?

Tatizo bongo watu wengi hawachukii rushwa na ubadhirifu wa mali na vyeo, they are just mad that it's not them getting the perks kama alivyoandika mtoa mada.

Kwa hiyo hata vita dhidi ya rushwa inakuwa ngumu, kwa sababu somehow watu wanaamini "siku moja na mimi naweza kufika hapo juu, kwa hiyo tusikate mirija kabla ya zamu yangu".

Mtu anaanzisha thread kama hii kwa kutamani na yeye angekuwa na nafasi ya "kula bata" kama hawa.

Aibu.
 
mkuu wewe jiwekee mambo yako sawa kwa mustakabari wa watoto wako hujachelewa! ingawa siku hizi hata kama baba yako ni mkulima waweza pata kazi pale na wapo watu wengi nawajua ila just perform kwenye interview. ingawa sasa nadhani hawa watoto wa vigogo wapo sehemu zenye ulaji!
 
Bot ina watumishi wangaoi? Hao unaowaita watoto wa vigogo wanaform % gani ya watumishi wote?
Hao watoto wa vigogo wana sifa?
 
Kama mshua wangu angejiweka kwenye siasa mapema, huenda na mimi ningekuwa nakula bata pale BOT kama jinsi ambavyo watoto hawa wa vigogo wanavyopeta.
Samahani lakini, nasikiasikia eti hawa wote wanafanya kazi BOT na walipigiwa mapande na washua wao walioujua mchezo huu wa siasa mapema, wakuu kama nimekosea anayejua atanirekebisha kwa sababu najijua uelewa wangu ni mdogo.

ORODHA YA WATOTO WA VIGOGO WANAOFANYA KAZI BOT

Filbert Sumaye, Beatrice Bomani, Pamela Lowassa, Zacharia Kawawa, Salama Mwinyi, Salama Mahita, Rachel Msekwa, Jane Sitta, Yasmine Karume, Rabia Shein, Joshua Nchimbi, Gracia Mkapa, Jane Diallo, Likel Ngasongwa, Andy Magufuli, Thomas Mongela, Jubilee Kigoda, Raymond Zanga, Ismail Meghji, Morris Mramba et al.
Nawasilisha!

kama wanasifa za kufanya kazi pale na wanawajibika na kusaidia BOT kutimiza malengo yake ya kusimamia masuala ya fedha nchini sina tatizo. Ila kama hawana sifa na hawastahili kabisa kuwa pale....hapo nitakuwa na tatizo tena kubwa sana.

Mh. G. Lema...amesema yeye hawezi kuwa mbunge ili awe maskini....vivyo hivyo haimaanishi watoto wa the so called vigogo wawe na sifa na vigezo vyote...halafu wazazi wao wawakataze kwenda kuomba kazi BoT.

Kama wana sifa ya kuwa pale BoT ni sawa ila kama hawana sifa hilo ni tatizo kubwa.
 
LE MUTUZI, baada ya watu kukimbia kwa ajili ya mizinga mwambie mzee akushike mkono
Kama mshua wangu angejiweka kwenye siasa mapema, huenda na mimi ningekuwa nakula bata pale BOT kama jinsi ambavyo watoto hawa wa vigogo wanavyopeta.
Samahani lakini, nasikiasikia eti hawa wote wanafanya kazi BOT na walipigiwa mapande na washua wao walioujua mchezo huu wa siasa mapema, wakuu kama nimekosea anayejua atanirekebisha kwa sababu najijua uelewa wangu ni mdogo.

ORODHA YA WATOTO WA VIGOGO WANAOFANYA KAZI BOT

Filbert Sumaye, Beatrice Bomani, Pamela Lowassa, Zacharia Kawawa, Salama Mwinyi, Salama Mahita, Rachel Msekwa, Jane Sitta, Yasmine Karume, Rabia Shein, Joshua Nchimbi, Gracia Mkapa, Jane Diallo, Likel Ngasongwa, Andy Magufuli, Thomas Mongela, Jubilee Kigoda, Raymond Zanga, Ismail Meghji, Morris Mramba et al.
Nawasilisha!
 
Ulitaka wakfanye kazi wapi? Chapa kazi dogo Mungu atakuinua..........kwani hao wazazi wao hawakuwahi kuwa watoto wa vigogo, Mkate wako upo tu pambana.........!

Si lazima wote walundikane BOT, kuna sekta binafsi, kuna biashara, etc.

Ukiangalia proportion ya Watanzania wa kawaida na viongozi, utaona hapo pamejaa watoto wa viongozi disproportionately.

Kwa nini?

BOT wanaweza kusema kwamba wao ni equal opportunity, merit based employer? Kama ni EEO/ MB employer, imekuwaje kukawa na mkusanyiko wa watu fulani tu hapo?

Je, mtu ambaye hana godfather akifanya interview BOT ana nafasi ya kupata kazi?

Haya ni baadhi tu ya maswali ambayo list kama hii inaweza kuibua.
 
Kama mshua wangu angejiweka kwenye siasa mapema, huenda na mimi ningekuwa nakula bata pale BOT kama jinsi ambavyo watoto hawa wa vigogo wanavyopeta.
Samahani lakini, nasikiasikia eti hawa wote wanafanya kazi BOT na walipigiwa mapande na washua wao walioujua mchezo huu wa siasa mapema, wakuu kama nimekosea anayejua atanirekebisha kwa sababu najijua uelewa wangu ni mdogo.

ORODHA YA WATOTO WA VIGOGO WANAOFANYA KAZI BOT

Filbert Sumaye, Beatrice Bomani, Pamela Lowassa, Zacharia Kawawa, Salama Mwinyi, Salama Mahita, Rachel Msekwa, Jane Sitta, Yasmine Karume, Rabia Shein, Joshua Nchimbi, Gracia Mkapa, Jane Diallo, Likel Ngasongwa, Andy Magufuli, Thomas Mongela, Jubilee Kigoda, Raymond Zanga, Ismail Meghji, Morris Mramba et al.
Nawasilisha!

Wana gpa 5.0 kwahiyo hawfiti zaidi ya bot! Nyie wa udom kila siku propaganda na wivu tu! Wanajua kusimamia benki halafu siyo wambea, wakati wa kutoa hela za kampeni ya ssssssm!
 
....
Mtu anaanzisha thread kama hii kwa kutamani na yeye angekuwa na nafasi ya "kula bata" kama hawa.

Aibu.

Kama unafanya kazi kwa ufanisi kabisa kabisa na unafuata maadili ya utumishi...kazi ya BoT katika nafasi za utendaji".... is one of stressing job" No cheap 'bata' up there.

Mwigulu (Mb) knows it better.
 
sasa Kama wanasifa kwa nini wasipewe kazi! poor you
sifa hizi wanazo kwenye kazi za BOT, EAC, TRA na ICC na nyingine za kimataifa tu? MBona hatuwaoni wakifundisha kwenye shule? kinacholalamikiwa hapa siyo kuwepo kwao ni uwiano wao ukilinganisha na watoto wa masikini au watu wa kawaida. Sifikirii kama utaratibu ulizingatiwa. Hii inaonekana ni pawa ya vimemo tu.
 
Mbona kuna ambao wazazi ni makuli wanawapigia mapande watoto wao wanakuwa makuli hamsemi mnakuwa kimya tu.

Hii ni hulka tu ya wanadamu haiepukiki, ndio maana utaona watoto na wazazi wako katika harakati za kuusaka urais au kumuweka rais wanaye mtaka huko jamhuri ya kati.
 
Unajua B.O.T ina wafanyakazi wangapi?
Hao uliowasema ni asilimia ngapi ya wafanyakazi wote.?

Watoto wa makabwela unajua ni asilimia ngapi ya wafanyakazi wote wa B.O.T?

Unataka kuniambia watoto wa makabwela hawapo B.O.T?

Mzee Ndullu ni mtoto wa kigogo gani.?

Hao uliowataja una uhakika gani kama hawana sifa..??

Wewe unafikiri una sifa ya kufanya kazi B.O.T?

Kwa ulichokiandika hapa nimeshajua una akili ya aina gani..??
Watu kama nyie mkiajiriwa ndio mtakuwa mnasambaza chuki, umbea na kufuatilia watu maisha yao..
Bila kusahau wivu wa kike ilhali wewe utakuta ni Dume...
So kwa kumalizia nasema
Am sorry hutufai huku
 
Kama mshua wangu angejiweka kwenye siasa mapema, huenda na mimi ningekuwa nakula bata pale BOT kama jinsi ambavyo watoto hawa wa vigogo wanavyopeta.
Samahani lakini, nasikiasikia eti hawa wote wanafanya kazi BOT na walipigiwa mapande na washua wao walioujua mchezo huu wa siasa mapema, wakuu kama nimekosea anayejua atanirekebisha kwa sababu najijua uelewa wangu ni mdogo.

ORODHA YA WATOTO WA VIGOGO WANAOFANYA KAZI BOT

Filbert Sumaye, Beatrice Bomani, Pamela Lowassa, Zacharia Kawawa, Salama Mwinyi, Salama Mahita, Rachel Msekwa, Jane Sitta, Yasmine Karume, Rabia Shein, Joshua Nchimbi, Gracia Mkapa, Jane Diallo, Likel Ngasongwa, Andy Magufuli, Thomas Mongela, Jubilee Kigoda, Raymond Zanga, Ismail Meghji, Morris Mramba et al.
Nawasilisha!

dah dingi alikalia kuuza perege la sivyo na mimi ningekuwepo kwenye orodha...CHAKUFIANINI GOLDENBURG
 
Hii list mara ya kwanza kuiona ilikuwa muda mrefu, nahisi watakuwa wameongezeka ongezeka sasa...
 
Kama unafanya kazi kwa ufanisi kabisa kabisa na unafuata maadili ya utumishi...kazi ya BoT katika nafasi za utendaji".... is one of stressing job" No cheap 'bata' up there.

Mwigulu (Mb) knows it better.

Kweli B.O.T kama kule kwa jamaa wa st peters hakuna cha bata wala nini ni kazi kwa kwenda mbele

Wengi wanaopenda kuingia sehemu hizo mbili kwa kigezo eti watakuwa ni watu wa bata wanajiongopea wao...
24 hrs ni kupiga mzigo
 
Back
Top Bottom