Ni kigezo hicho pekee kilichotumika?!
Ni kigezo hiko na "kimemo cha mzazi wake" na kuonesha kadi ya rangi ya kijani ya Chama.
Ni kigezo hicho pekee kilichotumika?!
Ni kigezo hicho pekee kilichotumika?!
sasa kama wamesoma shule za maana kuanziq primary, degree wamechukua usa huko masters uk utataka ushindane nae wewe mtoto wa ifm ?
Usinichekeshe.....
Yes, sio kosa lao kuzaliwa na vigogo na si kosa lako kuzaliwa na yakhe!
CPA inanitosha,,,Ni kweli kwani hata Mlinzi na Dereva ni wafanyakazi wa B.O.TInamaana BOT nzima umewaona hao tu? Kuna wafanyakazi zaid ya 500 tanzania nzima ila hao 13 wamekupanikisha? Rudi class ukapate elimu.
Iko fresh tu, nan alimkataza mdingi wako asiingie kwenye system enzi hizo wenzie wanapigwa umande kwenda skonga yeye anajifanya mjasiriamali wa kuchoma mkaa jion anatesa kijijin kwa vijisent kutesa kwa Zamu, janga alochuma mdingi wako ndo hilo linakupanikisha mpaka unaanza umbeya wa kibwege! Onesha hawana vigezo sio kuleta bla bla, wewe na ki advance chako cha CBE au kidiploma cha Zoom unategemea upigwe na kipupwe cha Twin towers, Peleka CV yako Finca ndo levo zako!
Upo sahihi mkuu,,na upendeleo je?
Inamaana BOT nzima umewaona hao tu? Kuna wafanyakazi zaid ya 500 tanzania nzima ila hao 13 wamekupanikisha? Rudi class ukapate elimu.
sasa kama wamesoma shule za maana kuanziq primary, degree wamechukua usa huko masters uk utataka ushindane nae wewe mtoto wa ifm ?
Usinichekeshe.....
Iko fresh tu, nan alimkataza mdingi wako asiingie kwenye system enzi hizo wenzie wanapigwa umande kwenda skonga yeye anajifanya mjasiriamali wa kuchoma mkaa jion anatesa kijijin kwa vijisent kutesa kwa Zamu, janga alochuma mdingi wako ndo hilo linakupanikisha mpaka unaanza umbeya wa kibwege! Onesha hawana vigezo sio kuleta bla bla, wewe na ki advance chako cha CBE au kidiploma cha Zoom unategemea upigwe na kipupwe cha Twin towers, Peleka CV yako Finca ndo levo zako!
kama hamuamini leteni elimu ya huyo mtoto wa Kigoda
Labda ungesema na position zao in the organisation, hili nafasi zao zipimwe na merit of qualification and their performances. Vinginevyo expect much of administration work will be filled na watoto wa vigogo ndio hali kote duniani kwenye mashirika hayo.Wafuatao ni wafanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania :-
1. Filbert Sumaye
2.Beatrice Bomani
3.Pamela Lowassa
4.Zakaria Kawawa
5.Salama Mwinyi
6.Salama Mahita
7.Rachel Msekwa
8.Jane Sitta
9.Jasmini Karume
10.Radhia Shein
11.Justina Nchimbi
12.Blasia Benjamin W. Mkapa
13.Jerome Diallo
14.Likele Ngasongwa
15.Andy Magufuli
16.Thomas Mongela
17.Jabir A. kigoda
18.Marry Mramba
19.Ismail Meghji
MTOTO WA MKULIMA KAMA MIMI TUTASUBIRI SANA HIYO NAFASI...
SOURCE: Chanzo cha Kuaminika 100%
Labda ungesema na position zao in the organisation, hili nafasi zao zipimwe na merit of qualification and their performances. Vinginevyo expect much of administration work will be filled na watoto wa vigogo ndio hali kote duniani kwenye mashirika hayo.
The real talents hold key sectors in the banking world, kwengineko its a privilege thing na unamjua nani.
mkuu pamoja na maelezo yako mazuri bado nikukumbushe kuwa vick kamata master hajaipata bado ana vimeo kibao na ubunge umemponza kurudi kufanya vimeo degree alichukua pale sauti hilo halina shaka ila hiyo MBA ya Southampton solent university atasubiri sana haijaipata mpka leo anatakkiwa akafanye dissertation yake, muda mrefu wataumbuka wengiHaha Pole sana usilolijua ni usiku wa Giza.
Wengi wameingia hapo na Elimu ya Form 4, Na wakiwa hapo wakapata course za nje na kuungaunga kusoma nje ndio maana leo ukiwakagua unaweza kukuta wengine wana zile Degree na Masterz za kina nchimbi(Feki).
Refer viky kamata alisoma Masterz 2008 akiwa BOT ambapo aliajiriwa akiwa na Certificate na sasa ana masterz na aijulikani alisoma DegrEe wapi.
www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/290803-mh-vicky-kamata-cv-[-mungu-tuokoe].html
hapo ndipo maana ya Chama chashika hatamu!!!!!!Unyama waliofanyiwa watu wa DPRK ndivyo hivyo hivyo tunaofanyiwa sisi tukiwa hai. kweli amini amini nawaambia, heri ngamia anweza kupenya katika tundu la sindano kuliko kiongozi mmoja wa CCM kuuona ufalme wa mungu!!Wafuatao ni wafanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania :-
1. Filbert Sumaye
2.Beatrice Bomani
3.Pamela Lowassa
4.Zakaria Kawawa
5.Salama Mwinyi
6.Salama Mahita
7.Rachel Msekwa
8.Jane Sitta
9.Jasmini Karume
10.Radhia Shein
11.Justina Nchimbi
12.Blasia Benjamin W. Mkapa
13.Jerome Diallo
14.Likele Ngasongwa
15.Andy Magufuli
16.Thomas Mongela
17.Jabir A. kigoda
18.Marry Mramba
19.Ismail Meghji
MTOTO WA MKULIMA KAMA MIMI TUTASUBIRI SANA HIYO NAFASI...
SOURCE: Chanzo cha Kuaminika 100%