Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

jamhuri ya muungano wa tanzania ni muungano wa nchi mbili
1.zanzibar
2.tanzania bara
tatizo linaanzia hapo kwenye red.,kama tumelaaniwa vile!!!
 
Mimi siyo miongoni mwa buku 7 ila ninauliza hao watoto wana kosa gani kuwa hapo kama w anakidhi viwango ? Hapo tutakuwa tunawaonea hao watoto.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Hivi wale waliokuwa na vyeti vya kugushi waliondolewa? Nakumbuka alitajwa HATA mtoto wa aliyekuwa Waziri wa ELIMU kuwa ni miongoni wa watoto wa vigogo waliogushi vyeti na kujipatia kazi BOT.
 
Mimi siyo miongoni mwa buku 7 ila ninauliza hao watoto wana kosa gani kuwa hapo kama wanakidhi viwango? Hapo tutakuwa tunawaonea hao watoto.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hizo kazi nafasi za kazi wanazoshikilia ziliwahi kutangazwa magazetini? Waliingizwa hapo kwa mchakato upi basi? Walikuwa exposed kwenye fair competition wakati wanaingizwa hapo? Hapa siyo suala la kuoneana hapa tunahojiana kwani kuna watoto wa wakulima wengine ambao unaweza kukuta wangestahili zaidi kuwepo pale lakini utaratibu mbovu wa namna ya kuajiri ndio uliotufikisha hapa,tujibizane tu haya maswali hakuna mtu anayemuonea mtu wivu,mashirika ya umma nilazima yaonekane ni ya umma kweli kweli na si mali za wanasiasa wachache wenye choyo,kwanini yawe majina yaleyale tu? Hao ni watoto ambao wazazi wao wanatunzwa VIZURI na serikali mpaka umauti unapowakuta,na pia watoto wao wengi wapo kwenye daraja fulani la maisha ambalo kutokana na nafasi za wazazi wao KUSHINDA NA NJAA hakuwezi kujua anuani za nyumba zao kwenye maisha yao yote,ndugu unaweza kuwa hujawahi kuona watanzania wanavyoteseka wewe kwa ajili ya shughuli za taifa hili kila siku,peleka wtoto shule shiriki kwenye nyingine nyingi tu za kimaendeleo,wana watoto wenye vipaji na vichwa vizuri lakini wanafungiwa milango na viongozi wetu kwasababu nafasi nyeti wanagawana kwa kufahamiana nawatoto wa wakulima wanaishia kuwaa frustrated mtaani,hii haijakaa vizuri ni lazima tuhojiane.
 
Mimi siyo miongoni mwa buku 7 ila ninauliza hao watoto wana kosa gani kuwa hapo kama wanakidhi viwango? Hapo tutakuwa tunawaonea hao watoto.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Nilitegemea magamba watajibu hivyo?Je hao wana first class ya UDSM?IFM?Mzumbe?
 
Mimi siyo miongoni mwa buku 7 ila ninauliza hao watoto wana kosa gani kuwa hapo kama wanakidhi viwango? Hapo tutakuwa tunawaonea hao watoto. Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
uwezo wako wa kuwaza unaishia ndani ya kichwa chako, jaribu kufikiria nje ya kichwa utagundua, ulishawahi kuona bot imetangaza nafas za kazi, au tangu bot ianzishwe haijawahi kuhitaji wafanyakaz?
 
Nilitegemea magamba watajibu hivyo?Je hao wana first class ya UDSM?IFM?Mzumbe?

Mkuu first class zipo tunazo na kazi tunaomba kila leo. binafsi nimeamua kujiajiri naendelea vizuri tuu.
 
Mimi siyo miongoni mwa buku 7 ila ninauliza hao watoto wana kosa gani kuwa hapo kama wanakidhi viwango? Hapo tutakuwa tunawaonea hao watoto.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Sawa wanakidhi but ni hao tu watoto wa wakubwa wana win kwenye iterview? Hilo swali
 
Mkuu first class zipo tunazo na kazi tunaomba kila leo. binafsi nimeamua kujiajiri naendelea vizuri tuu.

Ucje jivunia first class ya saut au st joseph ohoooooh...! Kule watu unakuta robo ya darasa wana GPA za 5 mi huwa nashangaa kuanzia 1st hakuna anae disco, najua ku disco sana sio elimu bora but hivi vyuo wenyewe ndo wanaelewa sana?
 
uwezo wako wa kuwaza unaishia ndani ya kichwa chako, jaribu kufikiria nje ya kichwa utagundua, ulishawahi kuona bot imetangaza nafas za kazi, au tangu bot ianzishwe haijawahi kuhitaji wafanyakaz?

Mimi nimeshaona sana zinatangazwa na juzi juzi tu bwana mdogo mmoja aliingia pale mtoto wa kapuko ila ana MSC Finance na CPA sema kichwani yupo vizuri. Hata kama kuna upendeleo mtu hawezi kupambana na merit.
 
Usishangai sana, ndio Maisha hayo kama Baba yako alikuwa Mdau kwenye Mashamba ya Tumbaku Sikonge nawe utapata Mchongo wako Kwenye Tumbaku, we ulitaka uwakute wanasafisha Vioo vya Magari kwenye Traffic light ndio uridhike baba zao walikuwa waadilifu?
 
uwezo wako wa kuwaza unaishia ndani ya kichwa chako, jaribu kufikiria nje ya kichwa utagundua, ulishawahi kuona bot imetangaza nafas za kazi, au tangu bot ianzishwe haijawahi kuhitaji wafanyakaz?
Nadhani wewe uwezo wako wa kufikiri ndio unaishi kwenye kichwa chako! Kuna msemo unasema, "No Research, No Right to Speak"! Ulishafanya utafiti ukaona kuwa tangu BoT ianzishwe hakujawahi kuwa na tangazo la nafasi za kazi? Sasa tafuta gazeti la Daily News la tarehe 04 November, 2008 ucheki. Nalikumbuka hilo gazeti kwa sababu mimi ni mmojawapo wa niliyeona hilo tangazo, nika-apply, nikaitwa kwenye interview (tena mbili) na nikafanikiwa kuajiriwa! Yupo pia jamaa yangu aliajiriwa mwaka 2010, wote sisi ni watoto wa wakulima na hatuna memo. Memo yetu ni kuwa tuna vyeti vikali sana (tena shule zote na Vyuo tumesomea hapa hapa nchini, tena zile za Serikali) lakini pili ni tuko vizuri sana ktk lugha, yaani kujieleza kwa Kizungu. Issue hapa siyo tu kuwa na 1st Class kama wengi wanavyoamini, issue ni je, wakiku-test upstairs through oral interview una-reflect performance yako kwenye hivyo vyeti? Maana tumeona wengi wana GPA za 4.8; 4.9 na 5.0 (hasa kutoka vyuo vya kimagumashi) lakini ukimuhoji kwa Kiingereza utaona bora Form 6! Lakini pia, kwa wanaodai kuwa kupata kazi BoT, TRA, n.k. ni mpaka uwe mtoto wa Kigogo, hivi ukijumlisha vigogo wote nchi hii wanafika laki 1 kweli? Je, hata kama wanafika, kila mtu anaweza kuzaa watoto 10 kweli? Hivi inawezekanaje wafanyakazi wooote wa BoT, TRA, TPA, TCRA, EWURA, TANROADS, n.k. wawe ni watoto wa vigogo tu? Basi kama ni hivyo hao vigogo wanazaa sana mithili ya kuku!
 
Naona umetumwa na watoto hao wa magamba kumwaga -----.
Nadhani unajua mahesabu.Fanya ratio

Tangu tupate uhuru tumekuwa na maraisi 4.watoto wa 2 presidents wako BoT .Ratio ya 50% !!!
Tangu tupate uhuru tumekuwa na PM kama 7 hivi!!!sina uhakika! watoto 3 wako BoT!Kama asilimia 42.8%

Huwezi kupata hii ratio dunia nzima!!!!
 
Nadhani wewe uwezo wako wa kufikiri ndio unaishi kwenye kichwa chako! Kuna msemo unasema, "No Research, No Right to Speak"! Ulishafanya utafiti ukaona kuwa tangu BoT ianzishwe hakujawahi kuwa na tangazo la nafasi za kazi? Sasa tafuta gazeti la Daily News la tarehe 04 November, 2008 ucheki. Nalikumbuka hilo gazeti kwa sababu mimi ni mmojawapo wa niliyeona hilo tangazo, nika-apply, nikaitwa kwenye interview (tena mbili) na nikafanikiwa kuajiriwa! Yupo pia jamaa yangu aliajiriwa mwaka 2010, wote sisi ni watoto wa wakulima na hatuna memo. Memo yetu ni kuwa tuna vyeti vikali sana (tena shule zote na Vyuo tumesomea hapa hapa nchini, tena zile za Serikali) lakini pili ni tuko vizuri sana ktk lugha, yaani kujieleza kwa Kizungu. Issue hapa siyo tu kuwa na 1st Class kama wengi wanavyoamini, issue ni je, wakiku-test upstairs through oral interview una-reflect performance yako kwenye hivyo vyeti? Maana tumeona wengi wana GPA za 4.8; 4.9 na 5.0 (hasa kutoka vyuo vya kimagumashi) lakini ukimuhoji kwa Kiingereza utaona bora Form 6! Lakini pia, kwa wanaodai kuwa kupata kazi BoT, TRA, n.k. ni mpaka uwe mtoto wa Kigogo, hivi ukijumlisha vigogo wote nchi hii wanafika laki 1 kweli? Je, hata kama wanafika, kila mtu anaweza kuzaa watoto 10 kweli? Hivi inawezekanaje wafanyakazi wooote wa BoT, TRA, TPA, TCRA, EWURA, TANROADS, n.k. wawe ni watoto wa vigogo tu? Basi kama ni hivyo hao vigogo wanazaa sana mithili ya kuku!
mzee, you are missing the picture, just because you happen to get the job that does not mean they are fair and balance, wamekamatwa hapo na vyeti feki that is fact kwahiyo kama wangepewa interview unayodai ulipewa bila shaka wahusika hao wangekamatwa kwahiyo utaona kuwa lazima walipitia mlango wa nyuma. utakuwa ni mtu wa ajabu sana kama unaamini kuwa watoto waliomaofisini maeneo hayo yote walipata kihalali.
 
Kama mshua wangu angejiweka kwenye siasa mapema, huenda na mimi ningekuwa nakula bata pale BOT kama jinsi ambavyo watoto hawa wa vigogo wanavyopeta.
Samahani lakini, nasikiasikia eti hawa wote wanafanya kazi BOT na walipigiwa mapande na washua wao walioujua mchezo huu wa siasa mapema, wakuu kama nimekosea anayejua atanirekebisha kwa sababu najijua uelewa wangu ni mdogo.

ORODHA YA WATOTO WA VIGOGO WANAOFANYA KAZI BOT

Filbert Sumaye, Beatrice Bomani, Pamela Lowassa, Zacharia Kawawa, Salama Mwinyi, Salama Mahita, Rachel Msekwa, Jane Sitta, Yasmine Karume, Rabia Shein, Joshua Nchimbi, Gracia Mkapa, Jane Diallo, Likel Ngasongwa, Andy Magufuli, Thomas Mongela, Jubilee Kigoda, Raymond Zanga, Ismail Meghji, Morris Mramba et al.
Nawasilisha!
 
Lazima wewe utaambiwa una wivu wa kike.......lol!!

Ila hiyo nidyo Bongo DSM.....kila mtu anapiga mizinga bila kujali uzito au madaraka yake.

Ndiyo maana wengine wameamua kupitia njia ya uani kwa kujifanya wapambe permanently...may nao tuwapige PAYEEE!!
 
Kunatofauti kubwa kati ya wananchi na wenyenchi.
 
Back
Top Bottom